Karai mi4 tena na 3 MALOGO yupo wasiwasi wa nini?Usajili wa Simba misimu iliyopita ulikuwa wa hovyo,lakini Ahmed Ally na kina Magungu wanaaminisha mashabiki makubwa kila msimu,heri wangekaa kimya kuliko kuaminisha watu ujinga,mechi ya Simba itakosa mashabiki maana hamna hata mvuto,kama usajili ndo huu tunazidiwa na Azam na Singida tutarajie msimu mpya tukashika hata namba 4 kwenye msimamo.
Daah, sisi Simba tutakufa msimu ujao.Kaongeza mkataba Yanga
Hatufi mkuuDaah, sisi Simba tutakufa msimu ujao.
Ila cha moto tutakionaHatufi mkuu
Wewe kumbe umeliona mimi mpaka ni waone wakiwatambulisha na kuwakubali mpaka wacheze mechi tano za ushindani ndipo nitawakubali,hizi nyingine ni biashara za kuwapandisha thamani wachezaji wao, wanahonga waandishi kwa ajili ya kutengeneza uvumi.Huyu wakala wa zimbwe anawajaza tu upepo Simba mchezaji wake aongezewe mpunga..... Hamna lolote....
Sema huku kwetu Kila mtu anaamua tu kua journalist wa michezo na anapata wafuasi, ulaya Kuna makundi ya journalists.... Top tier 1 kama kina romano, Duncan etc.... Hawezi leta habari kama Hana 100% nayo, na wanatumia pesa nyingi kuwalipa mawakala wa wachezaji na machawa wa timu ambao wako jikoni kabisa ila waweze kupata habari za uhakika , ukibugi tu habari Moja ya uongo watu wanaachana na wewe, huku kwetu mtu anampost celestine Ecua yupo na jezi ya Simba anasema it's a done deal, baada ya siku mbili anampost tena anasema yanga washamaliza nae, na Bado watu wanaendelea kumfatilia, stupid!
Ngoja tuone, maana kwa hzo THANK YOU huenda tayari wameshasajiri watu wa maana zaid ya hao wanao ondokaBado matokeo ni 4-0
Simba ana wakati Mgumu sana sokoni anahaha mno (haijawahi kutokea simba anateseka kiasi hiki).
Yanga-Azam - Simba-singida.-Tabora.
Ana miaka mingapi zimbweWewe kumbe umeliona mimi mpaka ni waone wakiwatambulisha na kuwakubali mpaka wacheze mechi tano za ushindani ndipo nitawakubali,hizi nyingine ni biashara za kuwapandisha thamani wachezaji wao, wanahonga waandishi kwa ajili ya kutengeneza uvumi.
Unaweza ukakuta wakala anafanya hivyo ili Shabalala alipwe signing fee kubwa na timu yake ya sasa, mshahara mkubwa na mkataba wa mda mrefu sababu anajua mchezaji wake age imeenda.
Nimeangalia mtandaoni wanasema ana 28, ila yule sizani kama anakosa 35.Ana miaka mingapi zimbwe
Huyu Yanga tuachane nae tu.Ilikuwa Yanga ila tabia zake zinaleta ukakasi wa kumsajili