Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Wachezaji wa kiafrika wajifunze kwa wazungu huko ..unatakiwa kua na msimamo kua bwana EEH nataka kwenda timu flan tu basi, ukibabaika na pesa mwisho wa siku wanakuchanganya unashindwa kutoa maamuzi, pesa unazikuta huko huko ulikochagua kwenda ...Sasa kushindwa kua na msimamo timu yako inakua na tamaa inataka pesa nyingi Wala hata hawakufikirii wewe ..wasimamiz wako nao wanataka hela hawakuwazi wewe ...mfano mzuri ona victor kashikilia Bomba Hadi timu yake imekubali tu kishingo upande kwaio dogo anaenda arsenal..msimamo wake umemsaidia ..angeyumbishwa angetua saudi Arabia huko na yeye Bado ana uwezo wa kucheza ulaya ..
Yeah yani mchezaji asipojipambania mwenyewe hakuna atakayempambania timu zinaangalia hela tu, hata hao mawakala wenyewe ni wachache wanaowapambania wachezaji wao ila wengi nao wanaangalia hela tu, kila mchezaji ana matamanio na ndoto zake kuna wengine wanataka pesa na mali tu na kuna wengine wanataka heshima na makombe kwanza
 
Huyu mkandaji kipenzi chenu kiboko wa Diara leo mnamkataa?
Mashabiki oya oya + wapenzi wa Mpira wa miguu + wapenzi wa timu ya Simba wako wengi na kila mmoja ana maoni yake ana akili yake, ana ufahamu wake, wa kuchanganua mambo...nimemkataa Mimi binafsi ... sababu sijaona impact yake uwanjani..hata alipofunga goli na kweli alifunga na lilikua goli zuri, alifunga na kama desturi ya washangiliaji wa timu iliyofunga hushangilia na majina mengi tumempa..lakin ukijibu kishabiki kua sababu aliitwa kiboko ya diara ndio asiondoke nitakushangaa jinsi Gani ulivyo na ushabiki wa kiwendawazimu ...
 
Kwa jinsi wachezaji wa wanavyoondoka au kuachwa Simba kwa idadi kubwa naamini ndani ya Simba kuna mtu au watu hawaitakii mema hiyo timu au wana kazi maalum pale. Mpaka wanasimba wenye uchungu na timu yao watakapokuja kustuka watakuwa wamechelewa sana. Mbaya zaidi kuna watu wazima na akili zao kabisa wamejigeuza machawa wamejitoa ufahamu wamekalia kusifia uongozi tu hawataki wakosolewe au waambiwe ukweli wakati timu inaenda shimoni. Watu kama G64, Mzaramo, Shabani Mpira Pesa, Kisugu, Mchungaji wa Simba na wengineo wao kazi yao kutetea tu hata mambo yanayoingamiza Simba.

Ni kweli Simba haikufanya vizuri sana msimu ulioisha lakini haiondoi ukweli kuwa Simba ilikuwa imara kwa kiasi fulani. Kilichohitajika kwa dirisha hili ni kuongeza wachezaji wapya kati ya 5 - 8 ili kujiimarisha zaidi. Inapotokea mpaka wachezaji wa 1st eleven wanaachwa au kuamua kuondoka wenyewe hapo ndio sintofahamu inapokuja. Kwa maana nyingine Simba inaenda kuanza kutengeneza timu mwaka huu. Inawezekena kitendo cha kutengeneza timu kila mwaka kuna viongozi ambao wanafaidika ndio maana viongozi hawashtuki wachezaji wengi kuondoka ndani ya msimu mmoja.

Ni mtizamo tu.
 
Hivi na baba yako mzazi ...mzee flani ..embu mueweke kwenye akili yako sasahivi, na jinsi alivyokupambania wewe na wengine kwenye familia akisaidiana na mama yako, fikiria Sasa akiitwa SHOGA yaani GAY kwamba anaingiliwa nyuma ya maumbile na wanaume ama wazee wenzake,,, utajiskia freshi eeeh.?!

NB: ushabiki usifanye watu mkakosa utu.
Nakazia mkuu, huu ni mpira tu aisee.
 
Kwa jinsi wachezaji wa wanavyoondoka au kuachwa Simba kwa idadi kubwa naamini ndani ya Simba kuna mtu au watu hawaitakii mema hiyo timu au wana kazi maalum pale. Mpaka wanasimba wenye uchungu na timu yao watakapokuja kustuka watakuwa wamechelewa sana. Mbaya zaidi kuna watu wazima na akili zao kabisa wamejigeuza machawa wamejitoa ufahamu wamekalia kusifia uongozi tu hawataki wakosolewe au waambiwe ukweli wakati timu inaenda shimoni. Watu kama G64, Mzaramo, Shabani Mpira Pesa, Kisugu, Mchungaji wa Simba na wengineo wao kazi yao kutetea tu hata mambo yanayoingamiza Simba.

Ni kweli Simba haikufanya vizuri sana msimu ulioisha lakini haiondoi ukweli kuwa Simba ilikuwa imara kwa kiasi fulani. Kilichohitajika kwa dirisha hili ni kuongeza wachezaji wapya kati ya 5 - 8 ili kujiimarisha zaidi. Inapotokea mpaka wachezaji wa 1st eleven wanaachwa au kuamua kuondoka wenyewe hapo ndio sintofahamu inapokuja. Kwa maana nyingine Simba inaenda kuanza kutengeneza timu mwaka huu. Inawezekena kitendo cha kutengeneza timu kila mwaka kuna viongozi ambao wanafaidika ndio maana viongozi hawashtuki wachezaji wengi kuondoka ndani ya msimu mmoja.

Ni mtizamo tu.
Idadi ya wachezaji wa nje Simba msimu uliopita ilikua imejaa, wewe unataka waongeze wachezaji 5-8 bila kuwaacha wengine, watawasajili vipi Sasa maana Kuna limit ya wachezaji wa nje
 
Kibu ameomba kutoshiriki CHAN anasema anataka kufanya majaribio marekani Kuna timu zinamtaka, chibu Mzee wa drama..... Lazima Simba waongeze tena hela
 
Ili Simba irudi kwenye ubora wake inahitaji wachezaji wapya:

(1). Mabeki wenye nguvu na spidi -3
(2). Viungo wenye accurate passes -2
(3). Washambuliaji wenye spidi -3.

Mambo ya pira biriani mara samba yamepitwa na wakati, control na spidi ndo habari mpya. Mfano mzuri ni PSG.
PSG hawahawa waliokula 3 kwa Chelsea!?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Idadi ya wachezaji wa nje Simba msimu uliopita ilikua imejaa, wewe unataka waongeze wachezaji 5-8 bila kuwaacha wengine, watawasajili vipi Sasa maana Kuna limit ya wachezaji wa nje
Wapi nimesema hao wachezaji wote 5-8 wawe wa nje. Mkuu hao ni jumla wa ndani na wa nje. Usajili wa msimu uliopita ni mkubwa na taratibu timu ilianza kuimarika. Kwa mfano mdogo tu Nouma anaondokaje huku unajua Zimbwe anamaliza mkataba? Hauoni kuna uwezekano wa kuwa na wachezaji wapya kabisa mbavu ya kushoto kitu ambacho ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom