Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Twafaaaa!
Hivi kweli najiuliza kua kweli Mo hata kama ingekua hapendi timu ama ni bahili kwamba atashindwa kusajili wachezaji Wazuri ? Ina mana usiposajili vizuri timu inakua tia maji na ikitia maji hata na biashara zake zitakua mashakani mana watu watakosa mwamko hata wa kufatilia timu ...huwez kukosa bilioni 1 na milion 700 kumsajili mchezaji kama unajipiga kifua kua umeshatoa bilioni 87...hizo pesa zinaliwa ..narudia kusema mo angepata mtu aina ya hersi na wawe wawili tu kwenye usajili wakisaidiwa na kocha tu na kumuweka mtu kama magori tu , kila kitu kingeeleweka...ila kuwakumbatia maswaiba zake wasiojua chochote na wapigaji , tutavuna tulichopanda.
Simba inatakiwa viongozi wa GEN Z. Hao wazee wapumzike tu wabaki kutoa ushauri tu maana hata ubunifu wa kutengeza pesa kupitia wanachama hawana badala yake wamebaki kutolea macho pesa za MO halafu wanalalamika hawana sauti kwenye mkutano. Kama hizo tetesi za Conte zikiwa kweli sitashangaa kwani kuna kiongozi alienda mara mbili Uganda na bado wakamkosa Manzoki badala yake akaletwa kama mtalii kwenye mkutano wa wanachama. Hao wazee wanafikiri usajili ni kama zamani mpaka ligi ziishe ili wamsajili Conte wakati upande wa pili sasa hivi wameshamaliza usajili wa wachezaji wote wa msimu huu tangu jumamosi iliyopita.
 
Dah ...halaf mtu anasema tutakua unstoppable ..nimeishia.kucheka tu..kwa wachezaji wapi Sasa..mtu hata tshabalala wanashindwa hata kumheshim wanasubir Hadi mkataba unaisha kabisa..ujinga...
 
Sasa kila anayegombaniwa Simba na Yanga utasikia kaenda Yanga, unaamini Simba watajaza maeneo yote yanayopwaya? Maana mi naona kama wanaosikika kusajili ni Yanga tu
Labda Simba Wana mipango mingine nimewaza kua wachaMBUZI ili kuipaisha habari lazima wamuhusishe mchezaji labda anaetakiwa yanga , kumuhusisha na Simba ili habari ifuatiliwe na watu na wapate followers kwenye mapage yao huko Facebook na X ...mwisho wa siku Hadi Sasa hakuna hata mchaMBUZI mmoja ambaye ameleta habar za kweli zilizodhibtishwa na klabu.....mana habar yako ukisema ecue anaitajika na yanga ..habari Haina msisimko .ndio mana wakaja na propaganda kua eti Simba usiku usiku walituma ofa kubwa ila yanga wakaizidisha eti wakashinda vita...hapo sisi mazombie tunaanza kukufatilia ndio tunaona una habari za motomoto kumbe uzushi tu ...
 
Wachambuzi wanatuingiza sana mkenge
 
Twafaaaa!
Hivi kweli najiuliza kua kweli Mo hata kama ingekua hapendi timu ama ni bahili kwamba atashindwa kusajili wachezaji Wazuri ? Ina mana usiposajili vizuri timu inakua tia maji na ikitia maji hata na biashara zake zitakua mashakani mana watu watakosa mwamko hata wa kufatilia timu ...huwez kukosa bilioni 1 na milion 700 kumsajili mchezaji kama unajipiga kifua kua umeshatoa bilioni 87...hizo pesa zinaliwa ..narudia kusema mo angepata mtu aina ya hersi na wawe wawili tu kwenye usajili wakisaidiwa na kocha tu na kumuweka mtu kama magori tu , kila kitu kingeeleweka...ila kuwakumbatia maswaiba zake wasiojua chochote na wapigaji , tutavuna tulichopanda..
Dah! Comrade umejitahidi kweli kutoa malalamiko yako kwa urefu na pasipo kutoa hata kipande kidogo tu cha tusi. Naamini ukiamua kwenda hivi, unaweza kabisa.
 
Sasa kila anayegombaniwa Simba na Yanga utasikia kaenda Yanga, unaamini Simba watajaza maeneo yote yanayopwaya? Maana mi naona kama wanaosikika kusajili ni Yanga tu
Wachezaji wapo wengi wazuri na bado hawajaisha hasa huko Afrika Magharibi. Lakini nani wa kufanya "scouting" pale Simba. Na si hivyo tu je mashabiki , wanachama na wapenzi wa hizi timu zetu wapo tayari kuwavumilia kwa misimu miwili/mitatu ili wawe wachezaji kamili. Jibu ni hapana kwa kuwa vilabu vyetu vinapenda wachezaji walio tayari. Leo Simba na Yanga wanakutana kwa Conte wakati wenzao wali "risk" miaka miwili tu iliyopita na leo wamevuna zaidi ya bilioni.
 
Wachezaji wapo wengine sana hapa Africa , ni uvivu tu wakitafuta wachezaji.
Jaribu fikilia jean Claude girimugisha alikuwepo Burundi hapo lkn aaa hawakumuona.
 
Sema huyu jamaa anayejiita heavyweight dullah anajitahidi sana kwenye masuala ya scouting, hadi sasa ameshatoa mapendekezo ya wachezaji wazuri kama wanne ambao simba wanapaswa kuwasajili katika nafasi kadhaa uwanjani, natamani viongozi wa simba wajaribu kumzingatia dogo ana kitu siyo kama hawa wachambuzi wengine wenye propaganda
 
Watu Wako vizur kwenye skaut wapo sema wanaonekana kama MAVI tu...Anaeaminiwa ni jaribu tena na skaut alieajiriwa yule mzungu ambaye sioni anachokifanya na hata sijui Yuko wapi
Sema huyu jamaa anayejiita heavyweight dullah anajitahidi sana kwenye masuala ya scouting, hadi sasa ameshatoa mapendekezo ya wachezaji wazuri kama wanne ambao simba wanapaswa kuwasajili katika nafasi kadhaa uwanjani, natamani viongozi wa simba wajaribu kumzingatia dogo ana kitu siyo kama hawa wachambuzi wengine wenye propaganda
 
Sema huyu jamaa anayejiita heavyweight dullah anajitahidi sana kwenye masuala ya scouting, hadi sasa ameshatoa mapendekezo ya wachezaji wazuri kama wanne ambao simba wanapaswa kuwasajili katika nafasi kadhaa uwanjani, natamani viongozi wa simba wajaribu kumzingatia dogo ana kitu siyo kama hawa wachambuzi wengine wenye propaganda
Ngao ya jamii mkileta timu tunawawasha tena.
 
Twafaaaa!
Hivi kweli najiuliza kua kweli Mo hata kama ingekua hapendi timu ama ni bahili kwamba atashindwa kusajili wachezaji Wazuri ? Ina mana usiposajili vizuri timu inakua tia maji na ikitia maji hata na biashara zake zitakua mashakani mana watu watakosa mwamko hata wa kufatilia timu ...huwez kukosa bilioni 1 na milion 700 kumsajili mchezaji kama unajipiga kifua kua umeshatoa bilioni 87...hizo pesa zinaliwa ..narudia kusema mo angepata mtu aina ya hersi na wawe wawili tu kwenye usajili wakisaidiwa na kocha tu na kumuweka mtu kama magori tu , kila kitu kingeeleweka...ila kuwakumbatia maswaiba zake wasiojua chochote na wapigaji , tutavuna tulichopanda..
Kwa akili yako ndogo pesa ya Muhindi tena MO anaesimamia pesa za familia zinaweza kuliwa kizembe tena mabilioni kila mwaka? Shtuka,siku utakayokuja kufahamu janja janja za MO ndio utakuja kujiona mjinga jinsi ulivyokuwa una imani nae na kumtetea hadharani,tangu nijue janja janja zake kwenye yale mashamba ya Mkonge kule Tanga hadi Serikali ikampokonya wala hanipi shida.
 
Kwa akili yako ndogo pesa ya Muhindi tena MO anaesimamia pesa za familia zinaweza kuliwa kizembe tena mabilioni kila mwaka? Shtuka,siku utakayokuja kufahamu janja janja za MO ndio utakuja kujiona mjinga jinsi ulivyokuwa una imani nae na kumtetea hadharani,tangu nijue janja janja zake kwenye yale mashamba ya Mokonge kule Tanga hadi Serikali ikampokonya wala hanipi shida.
Baba yako na mama yako mzazi ndio Wana akili ndogo. Una mihemko ya kuichukia Simba. siwezi kukujibu hata ntakachoongea kitakua hakina maana sababu ya chuki yako kwa Simba.

Back
Top Bottom