Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Mkuu huyo jamaa anatumia mtandao GaniSema huyu jamaa anayejiita heavyweight dullah anajitahidi sana kwenye masuala ya scouting, hadi sasa ameshatoa mapendekezo ya wachezaji wazuri kama wanne ambao simba wanapaswa kuwasajili katika nafasi kadhaa uwanjani, natamani viongozi wa simba wajaribu kumzingatia dogo ana kitu siyo kama hawa wachambuzi wengine wenye propaganda