1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
Leteni mupya mupya
Ripoti ya kocha ndiyo hiyo imeainisha huyo mchezaji kutoka timu pinzaniIla haya mambo timu zitatengeneza uadui mkubwa sana italeta shida kubwa mbele huko ......
Sajili wachezaji kulingana na ripoti ya kocha na technical bench na sio kusajili wachezaji wa timu pinzani kukomoa .....
53 Umepuyanga.
safi sanaaaa tuanze upyaThank you Mohamed Hussein Zimbwe.
Mimi nilikuwa nasubiri 53 tu maana Aucho anasepa.Siyo kosa langu hilo. Siwezi kusema kila kitu hapa. Alafu ungesifia namba nyingine pia
Mkuu Simba walishachelewa kama kawaida yao jamaa akasaini AS FAR. Simba ya sasa ni kama Arsenal ya mzee Wenger wana data base ya wachezaji wazuri Afrika nzima lakini ikija kwenye kuwasajili sasa mara viongozi wajivute mara wakitajiwa pesa wanakula kona wanasikilizia kama bei itashuka. Wakija shtuka mchezaji anaona kabisa Simba hawapo "serious" anamua kusaini timu nyingine ambayo ipo "serious"Nouh El Abdi anatakiwa na Simba SC
kazi tunayoMkuu Simba walishachelewa kama kawaida yao jamaa akasaini AS FAR. Simba ya sasa ni kama Arsenal ya mzee Wenger wana data base ya wachezaji wazuri Afrika nzima lakini ikija kwenye kuwasajili sasa mara viongozi wajivute mara wakitajiwa pesa wanakula kona wanasikilizia kama bei itashuka. Wakija shtuka mchezaji anaona kabisa Simba hawapo "serius" anamua kusaini timu nyingine ambayo ipo "serious"
Bado Shomari KapombeThank you Mohamed Hussein Zimbwe.
Tukisema viongozi wa Simba hawapo "serious" watu huwa hawelewi. Zimbwe mkataba ulikuwa unaenda kwisha na walikuwa hawajamalizana naye ikawaje wakamwacha Nouma aondoke kirahisi vile. Viongozi wangekuwa na weledi lazima wangekomaa na mmojawapo lakini wao wameacha wote wameenda. Kwa wanaojua mpira wanajua ni hatari kiasi gani kiufundi kwa Simba inaponza msimu na wachezaji wachezaji wote wapya wa mbavu ya kushoto hata kama ni wazuri kiasi gani. Anyway tutakuwepo.Thank you Mohamed Hussein Zimbwe.
Jezi hatununui,uwanjani hatuendi, tunaanzia hapo 😁Tukisema viongozi wa Simba hawapo "serious" watu huwa hawelewi. Zimbwe mkataba ulikuwa unaenda kwisha na walikuwa hawajamalizana naye ikawaje wakamwacha Nouma aondoke kirahisi vile. Viongozi wangekuwa na weledi lazima wangekomaa na mmojawapo lakini wao wameacha wote wameenda. Kwa wanaojua mpira wanajua ni hatari kiasi gani kiufundi kwa Simba inaponza msimu na wachezaji wachezaji wote wapya wa mbavu ya kushoto hata kama ni wazuri kiasi gani. Anyway tutakuwepo.
Tulia dawa iwaingieIla haya mambo timu zitatengeneza uadui mkubwa sana italeta shida kubwa mbele huko ......
Sajili wachezaji kulingana na ripoti ya kocha na technical bench na sio kusajili wachezaji wa timu pinzani kukomoa .....
Wamejawa malalamiko.Kwenye hii thread 5imba ni wanyonge sana.
Na kwa kuwaachia hvyo zimbwe na nouma inamaanisha Dili walikuwa washalimalizaKhadim Diaw
Raia wa Mauritania ambayo ni beki ya Kushoto ameshamalizana na Simba
Atatambulishwa muda wowote