- Thread starter
- #801
Ndiyohuyu si ndo yule mwenzake Celestine Ecua
Ndiyohuyu si ndo yule mwenzake Celestine Ecua
Imepita hiyoHichilema Ninashauri ili uzi huu uwe na muendelezo mzuri ungekuwa una update kwenye post ya kwanza chini ya ile list ya tetesi, deals za uhamisho ambazo zimefanikiwa na kuhitimishwa (closed transfer deals) kuliko kuconfirm kwenye lets say post ya 20, au 27, au 32, nnk . Ili iwe rahisi kwa rejea. Nadhani umenipata.
Wakati unazaliwa na mama yako alikutoa kupitia eneo lipi 🚮Simba wanapenda sana matashi ya aina hiyo, walimsajili pia Dani Serunkuma.
Umesoma kichwa Cha huu Uzi?Wadau mwenye taarifa angeweka confirmed signing make humu naona nyingi hapa zinazoletwa ni tetesi kila wakati.
kila tunapogusa tunaangukia pua😆,,USAJILI WA SIMBA THIS TIME MMMH, UMEKUWA KIMYA MNO!
Unamsikiliza hans sio simba ni brand kubwa washaacha kutumia hela nyingi kwenye usajili wanatumia akili hata Madrid kule ulaya wanatumia akili sana hawamwagi hela kama zamani.kila tunapogusa tunaangukia pua[emoji38],,
tusubiri akina jobe,ateba,fred[emoji1787],,
dirisha dogo tunakimbilia kwa kina mpanzu wengine,,
wachezaji wazuri wana mikataba,, hao wanaosajiliwa mikataba ilishaisha, mpira pesa
kumbukeni TP Mazembe ile ya moto , sio hii , nazungumzia ile hata fainali mwarabu anakula chuma 4,, walikuwa wanavunja mikataba wanachukua wachezaji bora,
sio sisi hapa tunajazwa na wachambuzi , sijui hawa wachezaji wanawaonea wapi? Ligi zao hazipo hata 5 bora, wachezaji hapa bongo wapo weeeeeengi,
Kwahiyo Simba Wana strategic kama Madrid?Unamsikiliza hans sio simba ni brand kubwa washaacha kutumia hela nyingi kwenye usajili wanatumia akili hata Madrid kule ulaya wanatumia akili sana hawamwagi hela kama zamani.
Yeah hata mimi nimegundua hili mkuu nashangaa wanaoeneza propaganda kuwa eti simba hawajafanya usajili wowote hadi sasa, haiwezekani simba waachane na wachezaji wote hao halafu wasisajili hata mmoja binafsi hadi sasa nimesikia wamefanya usajili wa wachezaji wanne wa nje kwa siri sana, ukweli ni kwamba kila mchezaji aliyeondoka simba wameshapata au wana uhakika wa kupata mbadala wake, tofauti kati ya yanga na simba ni kwamba yanga wamechagua kutangaza "welcome" zao kwanza kisha "thank you" baadaye, maana hadi sasa hatujasikia "thank you" yoyote rasmi toka kwa yanga ilihali kuna wachezaji wameondoka, ila simba wao wamechagua kuanza na "thank you" zao kwanza kisha "welcome" zitakuja baadaye, anyway tukutane kwenye yanga day na simba day kwa sasa acha tutulie lakini msimu ukianza ndio mbivu na mbichi zitakuja kujulikanaUSAJILI WA SIMBA THIS TIME MMMH, UMEKUWA KIMYA MNO!
Vipi my wetu tukikutana utakubali kutupa kidogo kwa mara ya 6 tuchangamshe damu?Yeah hata mimi nimegundua hili mkuu nashangaa wanaoeneza propaganda kuwa eti simba hawajafanya usajili wowote hadi sasa, haiwezekani simba waachane na wachezaji wote hao halafu wasisajili hata mmoja binafsi hadi sasa nimesikia wamefanya usajili wa wachezaji wanne wa nje kwa siri sana, ukweli ni kwamba kila mchezaji aliyeondoka simba wameshapata au wana uhakika wa kupata mbadala wake, tofauti kati ya yanga na simba ni kwamba yanga wamechagua kutangaza "welcome" zao kwanza kisha "thank you" baadaye, maana hadi sasa hatujasikia "thank you" yoyote rasmi toka kwa yanga ilihali kuna wachezaji wameondoka, ila simba wao wamechagua kuanza na "thank you" zao kwanza kisha "welcome" zitakuja baadaye, anyway tukutane kwenye yanga day na simba day kwa sasa acha tutulie lakini msimu ukianza ndio mbivu na mbichi zitakuja kujulikana
Hao wanne ikiwemo Feisal toto, 🙂Yeah hata mimi nimegundua hili mkuu nashangaa wanaoeneza propaganda kuwa eti simba hawajafanya usajili wowote hadi sasa, haiwezekani simba waachane na wachezaji wote hao halafu wasisajili hata mmoja binafsi hadi sasa nimesikia wamefanya usajili wa wachezaji wanne wa nje kwa siri sana, ukweli ni kwamba kila mchezaji aliyeondoka simba wameshapata au wana uhakika wa kupata mbadala wake, tofauti kati ya yanga na simba ni kwamba yanga wamechagua kutangaza "welcome" zao kwanza kisha "thank you" baadaye, maana hadi sasa hatujasikia "thank you" yoyote rasmi toka kwa yanga ilihali kuna wachezaji wameondoka, ila simba wao wamechagua kuanza na "thank you" zao kwanza kisha "welcome" zitakuja baadaye, 🙂anyway tukutane kwenye yanga day na simba day kwa sasa acha tutulie lakini msimu ukianza ndio mbivu na mbichi zitakuja kujulikana
Yule Hans ni takataka tu ...anatumika.kama toilet paperUnamsikiliza hans sio simba ni brand kubwa washaacha kutumia hela nyingi kwenye usajili wanatumia akili hata Madrid kule ulaya wanatumia akili sana hawamwagi hela kama zamani.
Nikki Mbishi aliwahi kusema "Hakuna story poa kama kumnyima spy info"Yeah hata mimi nimegundua hili mkuu nashangaa wanaoeneza propaganda kuwa eti simba hawajafanya usajili wowote hadi sasa, haiwezekani simba waachane na wachezaji wote hao halafu wasisajili hata mmoja binafsi hadi sasa nimesikia wamefanya usajili wa wachezaji wanne wa nje kwa siri sana, ukweli ni kwamba kila mchezaji aliyeondoka simba wameshapata au wana uhakika wa kupata mbadala wake, tofauti kati ya yanga na simba ni kwamba yanga wamechagua kutangaza "welcome" zao kwanza kisha "thank you" baadaye, maana hadi sasa hatujasikia "thank you" yoyote rasmi toka kwa yanga ilihali kuna wachezaji wameondoka, ila simba wao wamechagua kuanza na "thank you" zao kwanza kisha "welcome" zitakuja baadaye, anyway tukutane kwenye yanga day na simba day kwa sasa acha tutulie lakini msimu ukianza ndio mbivu na mbichi zitakuja kujulikana
Strategic - NoKwahiyo Simba Wana strategic kama Madrid?
Huo ukubwa wa Simba uko wapi au unaupima na Nini?
Nionyeshe mchezaji yeyote aliyeonyesha nia ya kujiunga na Simba kwasababu ni club kubwa?
Achana na maneno ya kujifariji mkuu mpira unahitaji vitu vingi sana siyo mbwembwe
Kama ilivyokuwa kwa musa Bala conteNikki Mbishi aliwahi kusema "Hakuna story poa kama kumnyima spy info"
Hii ndio formula ambaye Simba wameamua kuja nayo msimu huu.
Lassine Kouma anatakiwa na Simba
Bora wamkose tu asije kuleta balaa na jina lake.Kifaransa ou huwa zinatamkwa kama u. Sasa sijui kouma watangazaji watamuitaje!!?