Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Hichilema Ninashauri ili uzi huu uwe na muendelezo mzuri ungekuwa una update kwenye post ya kwanza chini ya ile list ya tetesi, deals za uhamisho ambazo zimefanikiwa na kuhitimishwa (closed transfer deals) kuliko kuconfirm kwenye lets say post ya 20, au 27, au 32, nnk . Ili iwe rahisi kwa rejea. Nadhani umenipata.
 
nasubiri kumwona nani aliyetimamu kati ya Gharib Mzinga, Baraka Mpenja, au Ayubu Hinjo. coz sote tunajua Right Back wa Barcelona [Jules Kounde] anatamkwa Jules Kunde
Siyo kila jina linaloandikwa hivyo linatamkwa kama unavyosema mengine yanatamkwa hivyo hivyo kama yanavyoandikwa, mfano Valentin Nouma na David Ouma walikuwa wanayatamka kama yanavyoandikwa, kuna jamaa mmoja Kazini kwetu anaitwa Loumah huwa tunamuita hivyo hivyo kama jina lake linavyoandikwa
 
aaah afadhali
 
Back
Top Bottom