Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Na Simba game ya kwanza asipokutana na Yanga ataichoma makusudi ili asikutane na Yanga fainal. Hata lile kombe la CRDB Simba aliamua kuzingua ile game makusudi.
Utaratibu wa ngao mshindi wa kwanza anakutana na mshindi wa 3 (Yanga vs Azam), mshindi wa 2 na wa 4 (Simba na Singida). Simba watawaachia tu singida,heri wafungwe na singida kuliko kukutana na Yanga.
 
Kwahiyo Simba Wana strategic kama Madrid?
Huo ukubwa wa Simba uko wapi au unaupima na Nini?
Nionyeshe mchezaji yeyote aliyeonyesha nia ya kujiunga na Simba kwasababu ni club kubwa?

Achana na maneno ya kujifariji mkuu mpira unahitaji vitu vingi sana siyo mbwembwe
Sasa mimi nitabishana na ww team yako inasema wachezaji wa simba ni wazee ila wakiachwa wanaenda yanga.
 
Kwani bwana mkubwa Nina shida kidogo unaweza kunionesha wapi uongozi wa Simba ulisema una taka kusajili huyo mchezaji ...natafuta sioni...nataka sunscreen shot huo ujumbe wa viongozi na kamati ya usajili waliosema wanamtaka conte niwatumie
Umemsikia Ahmed Ally semajiiii..... Amesema Simba walimtaka wamewahiwa.... Maumivu yakizidi muone daktari.
 
Umemsikia Ahmed Ally semajiiii..... Amesema Simba walimtaka wamewahiwa.... Maumivu yakizidi muone daktari.
Nimeshajiridhisha hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo.
 
Huu usiri wa Simba. Hadi mkuu Hichilema Hana info😂
FB_IMG_1753087874628.jpg
 
Back
Top Bottom