Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Nimeshajiridhisha hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo.
Mkuu hedex hakuna siku hizi kunywa tu hata Diclofenac...
 
Nimeshajiridhisha na taarifa official za klabu ya Simba. hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo.
 
Kunywa maji mengi mpaka moyo uelee na utumbo na firigisi na bandama na Figo upunguze maumivu.... Unaporusha matusi na dhihaka ni kipimo tosha ni jinsi gani una Maumivu makali mithili ya kujigonga kidole Cha mwisho mguuni asubuhi tena kwenye baridiiii.... Kunywa maji asee
 
Huku Sasa kukomoana ...timu hazisajli kwa minajili ya ripoti za mwalim Bali kukomoa na sifa kutafuta sifa za kijinga...mmoja kaanza mwingine naona anaanza kumalizia ...Kuna taarifa......😂
 
Nimeshajiridhisha na taarifa official za klabu ya Simba. hakuna shaka..Sina maumivu ya kipumbavu ...nikipoteza pesa ndio Nina maumivu sio eti mchezaji kuwahiwa kusainiwa na timu nyingine,, sinaga ushabiki oya oya kama wa kwenu baadhi humu WA kimaskin ..upo hapo dogo.
Pole sana ..jitahidi kula matunda ya saitriki kama mananasi na machingwa yatakusaidia....
 
Hivi Sheria za Tanzania zinaruhusu wachezaji wangapi kutoka. Nje kwa timu Moja?
Tanzania hakuna sheria inayouhusu wachezaji wa nje. Kanuni za TFF ndizo zinazozuia timu moja kuwa na wachezaji zaidi ya 12 ambao siyo raia wa Tanzania, na kikomo cha jumla ya wachezaji 30 tu kwenye timu moja
 
Kocha wa Yanga
FB_IMG_1753111642714.jpg
 
Back
Top Bottom