Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Mzee baba.kakataa kwenda kaizer chiefs , kakataa mkataba wa Simba, unafikiri kwanini kasain haraka yanga? Halafu mbona hela ndogo hio ..tena inalipwa kwa.mafungu..

NB: konte kapewa 500, nayo atalipwa kwa.mafungu ..GSM anamwaga hela...na umesikia rais anasema anamzimia na kumhusudu zimbwe au hujasikia mzee...
Conte atakula $180m kama ada ya kusaini, 60 kila mwaka
 
Ba Cissoko nasikia hili balaa linakuja msimbazi hakika Mo amedhamiria
 

Attachments

  • 1753176882948.jpg
    1753176882948.jpg
    305.4 KB · Views: 14
Back
Top Bottom