Mgoogle mkuu uone sifa zakeAnamzidi huyu?
Hapana hamna Haja ya ku google sio mchezaj mzuri kabisa..kwanza majeruhi sana halaf wa kawaida sana Hana mpya achana nae tu..Mgoogle mkuu uone sifa zake
Haijulikani mkuu..hakuna yoyote aliesajiliwa tusubiri uongozi taarifa rasmi...Simba wamesajili wachezaji wangapi mpaka sasa?
Hili wala sio la kushangaza.Jambo la kushangazwa ni kua hakuna anayejua usajili wa Simba Hadi Sasa ....
HIvi Msimbazi huwa wanatuchukuliaje😀😆😆😆
Wala mkuu hautakua wa hatari, utakua salama tu na WA kawaida kabisa ..huko kwingine ndio Kuna mbwembwe sajili za hatari pesa zinamwagwa ..halafu si unajua wana timu B ..wachezaji wa baadae wanawaleta pale singida ili wawachukue kwa baadae....michezaji ya hatari hatari tu ligi ya CAF huko wanachukua kombe Hawa al ahly wajiandae tuSimba wameamua kusajili kimyakimya baada ya kugundua yanga ni vibaka wazoefu kwa kuiba wachezaji wanaotarajiwa kusajiliwa msimbazi.
Nawahakikishia, usajili wa Simba msimu huu ni hatari... Stay tuned!
Hapo hata viongozi wasijiulize mara mbili hata bei ya hasara wao wamuuze tu watafute mshambuliaji mwingine maana jamaa kazingua sana alianza vizuri mno sijui kakumbwa na nini. Na ni mmojawpo wa waliofelisha pakubwa sana Simba msimu huu. Hata kama Fadlu anamtaka aambiwe wazi chaguo lake Ateba limezingua hivyo anauzwa yeye alete chaguo lingine awe anataka au hataki. Kwa hili viongozi wamsimchekee Fadlu maana lawama haziishi tu kwake zinaenda pia kwa viongozi waliofanya usajili.Keep an eye on Leonel Ateba
Release clause bilioni 2 mkuu tumuuze kwa hasara kweli 😀😀😀Hapo hata viongozi wasijiulize mara mbili hata bei ya hasara wao wamuuze tu watafute mshambuliaji mwingine maana jamaa kazingua sana alianza vizuri mno sijui kakumbwa na nini. Na ni mmojawpo wa waliofelisha pakubwa sana Simba msimu huu. Hata kama Fadlu anamtaka aambiwe wazi chaguo lake Ateba limezingua hivyo anauzwa yeye alete chaguo lingine awe anataka au hataki. Kwa hili viongozi wamsimchekee Fadlu maana lawama haziishi tu kwake zinaenda pia kwa viongozi waliofanya usajili.
WanazinguaHaijulikani mkuu..hakuna yoyote aliesajiliwa tusubiri uongozi taarifa rasmi...
Micky Jr Ametoa taarifa nasikia ya mchezaji mmoja kasajiliwa simbaJambo la kushangazwa ni kua hakuna anayejua usajili wa Simba Hadi Sasa ....
Hamna kitu mkuu usimsikilize anajaribu kubahatisha...taarifa zinasema Simba haijasajili hata mmoja Hadi Sasa..Micky Jr Ametoa taarifa nasikia ya mchezaji mmoja kasajiliwa simba
Tulia tu mkuu wachezaj watakua wa kawaida tu Wala usiwaze ..Wanazingua
Kashasajili anaitwa Diaw ni beki namba ya zimbweHamna kitu mkuu usimsikilize anajaribu kubahatisha...taarifa zinasema Simba haijasajili hata mmoja Hadi Sasa..