Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
😂😂😂Benchi
😂😂😂Benchi
Kwanini Mkuu?Nimecheka sana.
Hata huyo aligogiwa na yutubukaMgoogle mkuu uone sifa zake
Kuna wakati huku kariakoo bkra watu wasije tuBenchi
Nani aliemwibia mwenzake mchezaji Airport?Simba wameamua kusajili kimyakimya baada ya kugundua yanga ni vibaka wazoefu kwa kuiba wachezaji wanaotarajiwa kusajiliwa msimbazi.
Nawahakikishia, usajili wa Simba msimu huu ni hatari... Stay tuned!
Punguza kambaConte atakula $180m kama ada ya kusaini, 60 kila mwaka
Duniani hkn usajili wa kimya kimya.Simba wameamua kusajili kimyakimya baada ya kugundua yanga ni vibaka wazoefu kwa kuiba wachezaji wanaotarajiwa kusajiliwa msimbazi.
Nawahakikishia, usajili wa Simba msimu huu ni hatari... Stay tuned!
Hakuna usajili wa kimya kimya.Nani aliemwibia mwenzake mchezaji Airport?
Usajili wa kimya upo na si lazima timu ikipata ofa itangaze kuwa imepata ofa. Naweza kuja na ofa nzuri tu na nikaomba usiiweke public na tukafanya biashara.Duniani hkn usajili wa kimya kimya.
Mpira ni biashara.
Ukienda kupeleka offer kwenye timu Fulani Ile time inatangaza hio offer ili kama timu nyingine inamtaka nao waje hakuna usajili wa kimya kimya.
Labda muchukua free agent mchezaji
Kwaio unaamini.hizi porojo za Hawa media.puppet journalists?Hakuna usajili wa kimya kimya.
Simba still wanatafuta wachezaji.
Wapo baadhi ya wachezaji wamekosa ni zaidi ya 6 sasa wamefika
Wachezaji wazuri wanajulikana, uwezi pata mchezaji mzuri ambaye hajulikani na timu nyingi.Usajili wa kimya upo na si lazima timu ikipata ofa itangaze kuwa imepata ofa. Naweza kuja na ofa nzuri tu na nikaomba usiiweke public na tukafanya biashara.
Sijakuelewa.Kwaio unaamini.hizi porojo za Hawa media.puppet journalists?
Ni ushamba tu. Washamba wa bush kabisa.Hivi ni kweli kuwa Yanga imepania kumkwapua Ellie Mpanzu kutoka Simba kwa kuwapokonya Simba lulu yao huyo? Je huo ni uungwana?
Huyo unayebishana nae ni mjuaji sana, achana nae unapoteza muda tu.Wachezaji wazuri wanajulikana, uwezi pata mchezaji mzuri ambaye hajulikani na timu nyingi.
Sijui unajua Hilo????.
Ukiona mchezaji kaja Wala hajulikani na virabu vikubwa ujue huyo ni mbovu
Kwa hiyo ni kweli kuwa SImba amepokonywa !!Ni ushamba tu. Washamba wa bush kabisa.
By the way,, Jonathan sowah rasmi Simba...ateba out...Dili la ataba mezani lilikua na pesa nyingi.
Ndugu wawili Trab na trat wamekubalije hili dili😂....Ni ushamba tu. Washamba wa bush kabisa.
By the way,, Jonathan sowah rasmi Simba...ateba out...Dili la ataba mezani lilikua na pesa nyingi.
Wamchukue hata Mo still simba itabakiHivi ni kweli kuwa Yanga imepania kumkwapua Ellie Mpanzu kutoka Simba kwa kuwapokonya Simba lulu yao huyo? Je huo ni uungwana?
Tuliambiwa hata Ngoma "aliibwa" airport akienda kusajiliwa Yanga, hivyo chochote kinawezekanaNdo mimekuja kuelewa game linavyoendeshwa kipindi hiki Cha usajili.
Kama mchezaji anatakiwa na Yanga, waandishi (sijui wanalipwa??) wanazusha eti Simba wanamtaka, baadae Yanga wanamsajili, halafu inaonekana Yanga wamewapokonya Simba mchezaji.
Aiseee!!!! Asante sana mkuu felakuti Kwa kunifungua macho na akili. Ulilisema hapo juu, nikafatilia huko insta, m*am*ae
Kule insta mtu ninaemwamini japo kidogo ni Mick