Umepuyanga.Kama nilivyosema
Mmh...kwani yeye hua analeta taarifa ili awaaminishe kua Yuko sawa? Mbona Yuko tofaut na makanjanja kwenye vyombo vya habari wengine wanaoleta habari ama tetesi za usajiliUmepuyanga.
Sure, hili jamaa lina chuki na simba kama ilimfanya nini. Hata manara hana chuki ya hivyo.Baba yako na mama yako mzazi ndio Wana akili ndogo. Una mihemko ya kuichukia Simba. siwezi kukujibu hata ntakachoongea kitakua hakina maana sababu ya chuki yako kwa Simba.
Kapigwa mtu msumali wa utosini.
Kitu kizito😄😄
Kwani bwana mkubwa Nina shida kidogo unaweza kunionesha wapi uongozi wa Simba ulisema una taka kusajili huyo mchezaji ...natafuta sioni...nataka sunscreen shot huo ujumbe wa viongozi na kamati ya usajili waliosema wanamtaka conte niwatumieKapigwa mtu msumali wa utosini.
SawaKelvin Mondeko anakaribia kujiunga Young Africans
Kwani bwana mkubwa unaweza kunionesha ni wapi nimeitaja Simba hapo?Kwani bwana mkubwa Nina shida kidogo unaweza kunionesha wapi uongozi wa Simba ulisema una taka kusajili huyo mchezaji ...natafuta sioni...nataka sunscreen shot huo ujumbe wa viongozi na kamati ya usajili waliosema wanamtaka conte niwatumie
Mimi nimetaka tu screenshot ya uongozi wa Simba ukisema ulikua unamtaka conte balla...nataka tu nikawaoneshe niwaulize maswali yangu...Kwani bwana mkubwa unaweza kunionesha ni wapi nimeitaja Simba hapo?
Au ni wapi nimesema huo msumali wa utosini amepigwa nao Simba?