Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

[emoji599] 𝐄𝐗𝐂𝐋:

Yanga have approached Kévin Mondeko for a permanent move following his exit from USM Alger. [emoji1078][emoji3591][emoji1241]

The former TP Mazembe defender rejected an initial offer of $9,000/month salary and an $80,000 signing-on fee.

Mondeko is demanding $12,000/month and a $100,000 signing-on fee before considering the move.

Negotiations are ongoing. [emoji102]

#Transfers | #AfricanFootball

Jitu la miraba minne
Mh! Tunasajili wachezaji ambao hawakuwa na msaada kwenye timu zao hadi zikamaliza zikiwa za mwisho kwenye makundi (CAFCL na CAFCC). Ngoja nisimalize maneno
 
FB_IMG_1752931375450.jpg
 
Mh! Tunasajili wachezaji ambao hawakuwa na msaada kwenye timu zao hadi zikamaliza zikiwa za mwisho kwenye makundi (CAFCL na CAFCC). Ngoja nisimalize maneno
Kwani hujawai kuona timu inashuka daraja ila mchezaji anasajiliwa timu nyingine iliyopo ligi kuu? Sio hapa tu hata huko Ulaya

Au unahisi timu ikifanya vibaya basi hakuna mchezaji mzuri ndani yake?
 
1. Vilabu vya Young Africans, Kaizer Chiefs na Simba SC vinapigana vikumbo kumpata Feisal Salum ( Fei Toto)
2. Mourice Abraham ni mnyama
3. Thank you Augustine Okejepha
4. Thank you Kouass Yao
5. Golikipa wa JKT Tanzania , Yakubu Suleiman anavivutia vilabu vya Yanga na Simba
6. Aish Manula anaelekea Azam FC, Yanga pia wanamnyatia
7. Thank you Sure boy
8. Thank you Jonas Mkude
9. Kama Simba itampata winga mwingine, basi itaachana na Joshua Mutale
10. Frolent Ibenge ni kocha mpya wa Azam FC
11. Kiungo raia wa Ivory Coast, Mohamed Doumbia anakaribia kujiunga na Young Africans SC
12. Thank you Fabrice Ngoma
13. Thank you Omary Omary
14. Deborah Fernandez Mavambo anaweza kuachwa na Simba SC kama itampata mbadala wake
15. Farid Mussa anaweza kuondoka Yanga
16. Thank you Gibril Sylla
17. Jonathan Ikangalombo anaweza kuachwa na Yanga
18. Ayoub Lakred ameondoka rasmi Simba SC
19. Beki wa Al Hilal ya Sudan, Kadim Diaw anatakiwa na Simba SC
20. Valentine Nouma anaweza kupewa thank you kama Simba itampata Kadim Diaw
21. Celestine Ecua anavipiganisha vilabu vya Simba na Yanga
22. Kennedy Musonda anaweza kuondoka Yanga. Anahusishwa na Singida BS na Azam
23. Lameck Lawi anaelekea Azam FC kama mambo hayatabadilika
24. Higino Kapitango anatakiwa na Simba
25. Thank you Kocha wa Yanga, Miloud Hamd
26. Kiungo Mkabaji kutoka Mlandege, Abdulnassir Mohamed amesaini Yanga
27. Ahmed Bakari Pipino wa KMC anawindwa Vikali na Azam Fc na Yanga
28. Himid Mao Mkami anatarajiwa kurejea Azam FC
29. Muhsin Malima anaelekea Azam
30. Miguel Gamondi anaelekea Singida Black Stars
31. Malanga Horso Mwaku, anatakiwa na Yanga
32. Stephane Aziz Ki, hajawafurahisha mabosi wa Wydad, mkataba wa mkopo wa miezi miwili unaweza usiongezwe
33. Khaled Ben Yahia anaweza kuwa kocha mpya wa Yanga kama mambo hayatabadilika
34. Celestine Ecua ni mwananchi
35. Julien Chavenier naye anaweza kuwa kocha wa Young Africans
36. Wilson Nangu wa JKT, anaweza kujiunga na Simba SC
37. Thank you Mzamiru Yassin
38. Thank you Aziz Andabwile
39. Thank you Hussein Kazi
40. Thank you Kennedy Musonda
41. Manishimwe Djabel amesaini Azam FC
42. Simba SC wanaangalia uwezekano wa kuingilia dili la Celestin Ecua kutua Yanga
43. Hussein Abel anaelekea Singida Black Stars
44. Souleymane Coulibally anaweza kusaini Simba
45. Offen Chikola anaweza kujiunga na Young Africans
46. Keep ana eye on Fondoh Malone
47. Mkataba wa Chama umeisha, hajasaini mwingine. Azam wanamtolea macho
48. Thank you Fondoh Malone. Anauzwa Algeria
49. Edwin Balua anaelekea Cyprus kwa mkopo
50. Mofosse Karidioula anatakiwa na Simba
51. Israel Mwenda huenda akarejea Singida Black Stars
52. Thank you Kelvin Kijiri
53. Balla Moussa Conte ni mnyama
54. Celestine Ecua amekubali kusaini Yanga
55. Romain Folz anaweza kuwa kocha wa Yanga kama target nyingine zikigoma
56. Charvey Onoya anatakiwa na Simba SC
57. Basiala Agey anatakiwa na Azam na Simba SC
58. Debora Fernandez Mavambo anaweza kuondoka Simba SC na kuelekea Singida Black Stars kwa mkopo au mazima
59. Japhite Kitambala anaweza kujiunga na Azam FC baada ya CHAN
60. Keep an eye on Steven Mukwala
61. Keep an eye on Kibu Denis
62. Thank you Vicorien Adebayor
63. Thank you Arthur Badda
64. Keep an eye on Mohamed Hussein Zimbwe
65. Romain Folz ndiye kocha mpya wa Yanga
66. Charles Semfuko anaweza kujiunga na Simba Sc
67. Uwezekano wa kipa wa Yanga, Djigui Diara kuondoka ni mkubwa
68. Keep an eye on Khalid Aucho
69. Uwezekano wa Mohamed Hussein Zimbwe kubaki Simba ni mdogo sana.
70. Keep an eye on Kibu Denis
71. Kelvin Mondeko anakaribia kujiunga Young Africans
72. Che Malone Fondo kauzwa USM Algers ya Algeria
73. Denis Nya anatakiwa na Simba SC
74. Thank Debora Fernandez Mavambo
75. Bosco Nchindo anatakiwa ns Simba SC
76. Nouh El Abdi anatakiwa na Simba SC
53 Umepuyanga.
 
Back
Top Bottom