Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 4,319
- 7,485
Hongera zao kwa kupata PUSSIEKouma to Yanga, here we go
View attachment 3418639
Hongera zao kwa kupata PUSSIEKouma to Yanga, here we go
View attachment 3418639
Kwanini uwe na haraka ya kutaka mchezaji atetewe wakati kazi ya mchezaji ni kucheza uwanjani? Kuwa subira ligi zianze mumuone uwanjani kama ataweza majukumu yake ama lah. Hayo mengine ni kulazimisha kutafuta faraja mapema kwa maneno ya kusikia tu.Oyaaah amkeni basi muendelee kumtetea Balla Conte
Makolo ndo kipindi chenu cha furaha hiki.Oyaaah amkeni basi muendelee kumtetea Balla Conte
Na cha kuongezea kombe la dunia 2006 mchezaji bora alikuwa beki wa timu ya taifa ya Italy Cannavaro;-Magoli sio criteria ya kupima ubora wa defense midfilder. Ni wekee hapa kapora mipira mingapi, anatackling ngapi, kapiga key pass ngapi za kuanzisha mashambulizi, je anaisaidia vipi beki yake ikiwa haina,anaisaidia vipi timu ikiwa inampira na wakati haina mpira.
Sikumbuki mara ya Mwisho Kante kufunga ni lini, sikumbuki Sergio Busquets kufunga ni lini but ni moja ya viungo bora wakabaji katika miaka ya hivi karibuni.
Utachekwa ukiongea ushubwada wa kumpima kiungo mkabaji na idadi ya magoli, sasa tufanye anafunga halafu kazi yake ya msingi haifanyi unategemea kwenye timu kitakokea nini?
Nyie wengine mnatizama mpira ila sizani kama mnauelewa.
Doumbia atasumbua sana....ecua ni moto, yanga wako vizuri ngonja TUONE Simba wanakujajeShida ya yanga ilikuwa ni kati kati , aucho ailishachika, azizi ki nae ndo hivyo msimu huu, mwili ukiongezeka pamoja na uzito. Yanga number 6 kwao ilikuwa shida sana.
Wametibu matattizo Yao.
Kwa balla conte , dombia, na huyo anaitwa kouma sijui.
Na wachazaji wengine
who told you nina furaha, binafsi naona ni utoto kumkandia au kumsifia mchezaji ambaye haujamwona akicheza. The likes of member ambae anasema Conte 55 games neither goal nor assist ilhali anajua kabisa jamaa ni DMMakolo ndo kipindi chenu cha furaha hiki.
Ndugu mwandishi unajisikiaje ukiona hiki ulichoandika.?Bala Conte to Simba!
Weka takwimu ya magoli na assist alizotoa. Maswali mengi ya nini? Nimekuambia sikumbuki. Na kama huna takwimu, tuwaombe wenye nazo wasaidie zipatikane.Msimu ulioisha hukumbuki Aucho akifunga goli?
Msimu ulopita Aucho alicheza mechi 22 kati ya 30 za ligi kuu, akikosa mechi 8 pekee.Weka takwimu ya magoli na assist alizotoa. Maswali mengi ya nini? Nimekuambia sikumbuki. Na kama huna takwimu, tuwaombe wenye nazo wasaidie zipatikane.
Ikiwezekana weka na idadi yote ya magoli na assist alizotoa Aucho tangu alipojiunga Yanga, halafu tuone kama nguvu yake kubwa aliwekeza kwenye ukabaji na kuzuia mashambulizi ya adui, au kwenye kufunga na kutoa assist.
Unaelewa nini kuhusu neno "tetesi" ndugu msemaji.Ndugu mwandishi unajisikiaje ukiona hiki ulichoandika.?
Malizeni maneno yoteHii Simba chini ya Mo na Mangungu utafungwa na Yanga kadiri Yanga atakavoamua
Simba hii ya Mo na Mangungu sisi wana Yanga ndo tunataka
Mimi na wengine wengi tuliangalia hizo mechi na hatukuona hayo unayoyasema, inawezekana labda mwenzetu uliangalia mechi tofauti na sisi, au labda hizo mechi zilichezwa nyumbani kwako wengine hatukuziona ndio maana nasema uniwekee hapaKwani hujui kusoma?
Na uhangalii mpira?
[emoji1] ndugu mwandishi naona umepata pa kujifichia.Unaelewa nini kuhusu neno "tetesi" ndugu msemaji.
Hoja sio "nguvu kubwa kwenye assist na magoli"Weka takwimu ya magoli na assist alizotoa. Maswali mengi ya nini? Nimekuambia sikumbuki. Na kama huna takwimu, tuwaombe wenye nazo wasaidie zipatikane.
Ikiwezekana weka na idadi yote ya magoli na assist alizotoa Aucho tangu alipojiunga Yanga, halafu tuone kama nguvu yake kubwa aliwekeza kwenye ukabaji na kuzuia mashambulizi ya adui, au kwenye kufunga na kutoa assist.
DM sio kigezo cha kuhalalisha uzembe wake.who told you nina furaha, binafsi naona ni utoto kumkandia au kumsifia mchezaji ambaye haujamwona akicheza. The likes of member ambae anasema Conte 55 games neither goal nor assist ilhali anajua kabisa jamaa ni DM
Naomba tutajie majukumu ya kiungo mkabaji, tuanzie na hapo kwanzaDM sio kigezo cha kuhalalisha uzembe wake.
Kuna wanacheza position tight kuliko yeye and still hawawezi kucheza mechi 55 pasipo ku assist wala kufunga.
Kiungo mkabaji majukumu yake kwenye mpira wa kisasa hayamfanyi awe fixed sehemu moja.Naomba tutajie majukumu ya kiungo mkabaji, tuanzie na hapo kwanza
Wewe ni mshabiki wa timu gani.Mimi na wengine wengi tuliangalia hizo mechi na hatukuona hayo unayoyasema, inawezekana labda mwenzetu uliangalia mechi tofauti na sisi, au labda hizo mechi zilichezwa nyumbani kwako wengine hatukuziona ndio maana nasema uniwekee hapa
Mzee mbona unakimbilia kwenye hitimisho wakati tupo katika msingi wa hoja? Unaanza kusema habari za hamfanyi awe fixed wakati umeambiwa toa majukumu ya kiungo mkabaji. Elezea majukumu kwani kuna sehemu nimeongelea habari ya fixes sehemu moja?Kiungo mkabaji majukumu yake kwenye mpira wa kisasa hayamfanyi awe fixed sehemu moja.
Kiungo mkabaji anategemewa kwenye offensive strategies na kwenye transition play.
Msitafute kichaka guys, mechi 55 ni nyingi mno.