Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Sio mbovu lakini sio mzuri kihivyo kulinganisha na idadi ya promo anayopewaTukisema Conte ni mbovu kwa ligi yetu tunakuwa tunakosea sana. Kama nchi hatujafikia huo ubora wa kusema hivyo kisayansi
Sio mbovu lakini sio mzuri kihivyo kulinganisha na idadi ya promo anayopewaTukisema Conte ni mbovu kwa ligi yetu tunakuwa tunakosea sana. Kama nchi hatujafikia huo ubora wa kusema hivyo kisayansi
Ndo ivo goli ni la timu likipatikana na wanashangilia woteUkisema pre assist utajikuta unatoa mashavu kwa kila mchezaji aliyeugusa mpira ukianza na kipa kama shambulizi lilianza kwa transition
Sawadogo alisifiwa na Jemedari watu tukajaa lakini mechi mbili mfululizo jamaa hata dakika 20 hamalizi anakaaa chini anatia stendi anaomba subNdio mpira wetu wachambuzi wamewasifia wengi wakina Sawadogo, Boka,Bigirmana nk.Ndio maana mimi situmii akili za wachambuzi sababu mpira na ujua nataka niwaone mwenyewe wachezaji wakiwa wanacheza mechi atleast tano zenye upinzani na sii haya mabonanza na friend mechi baada ya hapo nitacomment.
FEI hachezi Simba msimu huu periodNakuja mkuu. Dili la Fei likitiki niandalie Ameeleza
Hakuna takwimu za hivyo babu!Ndo ivo goli ni la timu likipatikana na wanashangilia wote
Kila mchezaji ana potential yake
Huwezi kuwa unataka beki au defensive Midfielders ukaenda ukaulizia ana goli ngapi utakuwa chizi
Au unataka striker unaulizia ana saves ngapi? Utakuwa mwehu
Ndo maana tumeleta ithibati, hatutaki ujinga kwenye mediaNdio mpira wetu wachambuzi wamewasifia wengi wakina Sawadogo, Boka,Bigirmana nk.Ndio maana mimi situmii akili za wachambuzi sababu mpira na ujua nataka niwaone mwenyewe wachezaji wakiwa wanacheza mechi atleast tano zenye upinzani na sii haya mabonanza na friend mechi baada ya hapo nitacomment.
Kwasababu Hans alisema ile 6 ni BETWAY?FEI hachezi Simba msimu huu period
Wewe sijui unazungumizia mpira football au mpira condoms?Hakuna takwimu za hivyo babu!
Huo labda uwe ni mchezo mwingine lakini sio mpira
Hans ni nani? Umekomaa na huyo jamaa me hata simjuiKwasababu Hans alisema ile 6 ni BETWAY?
Ukimtoa kipa hakuna majukumu ya mchezaji katika eneo lolote linalo m-limit ashindwe ku assist au kufunga.Wewe sijui unazungumizia mpira football au mpira condoms?
Yaani hujui kuwa mle uwanjani timu 1 ina wachezaji 11 na kila mchezaji anapewa majukumu yake
Mliona aibu wakati mlipeleka mpaka medali ikulu na siku zote mkawa mnawaita simba mwakarobo, kwa kigezo kwamba ninyi mlifika fainali ya hayo mashindano unayoyaita umiseta, kweli kuwa shabiki wa uto ni ugonjwa wa akili hebu tusubiri msimu uanze ili mtueleze vizuriKimataifa ipo hii ya kombe la shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama?
Ambayo Yanga alifika final na kushindwa away, wala hakushangilia aliona aibu na fedheha kubwa kucheza UMISETA
Kwasababu hiki unachoonekana kukisisitiza una sound exactly sawa na HansHans ni nani? Umekomaa na huyo jamaa me hata simjui
Kufunga Kwa DM, defender au goal keeper ni bonus tuUkimtoa kipa hakuna majukumu ya mchezaji katika eneo lolote linalo m-limit ashindwe ku assist au kufunga.
Tuwaeleze Nini zaidi ya kuja kuwafunga mara ya 10 mfululizoMliona aibu wakati mlipeleka mpaka medali ikulu na siku zote mkawa mnawaita simba mwakarobo, kwa kigezo kwamba ninyi mlifika fainali ya hayo mashindano unayoyaita umiseta, kweli kuwa shabiki wa uto ni ugonjwa wa akili hebu tusubiri msimu uanze ili mtueleze vizuri
Hebu tuwekee hizo mechi za simba zenye hayo madhaifuMkuu msimu huu , yanga wamepata pont 3 ambazo sio halali Ile mechi ya Darby ya kwanza dhidi ya Simba.
Hivyo inajulikana.
Ila kwa Simba ni point zaidi ya 3 zipo mechi kama shida ya pamba jiji Ile ya kwanza, singida Ile mechi ya 2, mashujaa mechi zote mbili Hilo liko wazi kabisa.
Madhaifu ya yanga yalikuwa beki wa kulia na kutengeneza mashambuli kupitia katikati. Ambayo wamejaribu kuyasolve.
Me najua football ⚽ kiundani Kwa kucheza, kusoma na kuchambuaKwasababu hiki unachoonekana kukisisitiza una sound exactly sawa na Hans
Au labda we unamfuata zaidi Ambokile?
Nasisitiza msije kugeuza maneno tuTuwaeleze Nini zaidi ya kuja kuwafunga mara ya 10 mfululizo
Hamza ana goli alifunga kwenye mechi ya AzamKufunga Kwa DM, defender au goal keeper ni bonus tu
Mbona hapo umbumbumbuni Huwa hamkai mkamlaumu Hamza Kwa kukosa magoli Huwa mnamlaumu Ateba?
Aucho amecheza mechi nyingi na hakuwa mtoa assit wala mfunga magoli. Na bado alikuwa ni mhimili kwenye eneo la ulinzi. Kwa hiyo huyo mchezaji atawasidia walinzi kulinda, halafu akina Pacome watafunga. Na huu ndiyo mgawanyo wa majukumu.Badala ya kubeza walau ungeangalia kwa jicho la kihalisia.
Mechi 55 guys no goal no assist, kweli mmedhamiria mnataka kuifanya ionekane kawaida?