DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Watu wanamuuza mpaka Messi yeye analeta story za Fei Toto....Mkuu, nikuulize, wewe ndo kiongozi wa Azam, kama mchezaji kaamua hataongeza mkataba(zingatia neno kama), ofa imeletwa dola 500,000 utachukua hatua gani? Achana na mambo ya Simba, assume hata hiyo ofa haijaletwa na Simba. Utamuuza au utampa ibenge?