Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Muda wa wanasimba kuongea bado japo unakaribia

Yani wanasimba wakisifia wachezaji oo hata msimu uliopita miliwasifia ila mkakosa ubingwa, wakikaa kimya oo hata kwenye derby mlikaa kimya ila mkafungwa na mkakosa ubingwa, hivi uto mnajua hata mnachokikosoa kweli au mnakosoa tu kama manyumbu

Nimegundua upumbavu wa mashabiki wa yanga kwa sasa unafichwa na timu kuchukua ubingwa wa mchongo, siku mambo yakienda kinyume ndio watu wataona jinsi gani hiyo timu ina mashabiki wajinga, yani leo hii ukiongelea madhaifu ya yanga jibu pekee walilonalo mashabiki wao ni tunachukua ubingwa wala hawajibu hoja ila ni suala la muda tu
Young man, relax! Ok?
Yanga inakufunga back to back, halafu unasema ni ubingwa wa mchongo!!

Vipi kuhusu zile mechi zilizochezeshwa na wale waamuzi wenu akina Tatu Malogo, Kepha Kayombo, Japhet Smart, Shomary Lawi, na Heri Sasii!! Una maoni gani?
 
Hiyo hiyo ambayo anacheza Kagoma

Ulikuwa unataka kusema nini ofsa?
Kagoma ana mangapi? Aucho ana Mangapi?

Yaani defense midfilder unampima kwa magoli na assist kweli......?, atleast ungesema Complete passes. Defense midfilder anapimwa kwa mipira aliyo ipora tackling, completely key passes, anavyo shiriki kuilinda safu ya ulinzi ya timu na siku hizi wanapimwa kwa uwezo wao wa kuanzisha mashambulizi.
 
Hata kama ni DM lakini mechi 55 unazungumzia misimu miwili

Aucho amefunga goli dhidi ya Mashujaa, Kagoma alitoa assist tena kwenye mechi iliyowakutanisha na huyo Balla Conte.

Tusijifiche kwenye "Kiungo wa ulinzi" hapa tunazungumzia mechi 55, hapa hata mabeki wa kati hawawezi kumaliza mechi 55 bila assist wala kufunga.
 
Atafunga akija bongo
 
Hivi una akili Gani aisee
Yaani unaulizia assists na magoli Kwa mchezaji anayecheza DM
Haya twambie hawa wana magoli mangapi kwenye career yake
Bosquet
Kante
Makelele
Casemiro
Vitinha
Essien
Song
Aucho
Rodri
Modric
Xabi Alonso
 
Yani kama swali lako ni serious linaonesha kuwa hujui takwimu halisi za hao wachezaji kwenye stats za magoli na assist basi ni tatizo.

Kupitia swali lako unaonekana hufuatilii mpira na wala hujui hata ulichokiandika.

Unaonekana kuwa ni clueless ni mtu ambaye unasubiria Hans afanye upambe wake kisha wewe uumeze kama ulivyo halafu uje kuanza kusumbua mtaani kwenu.
 
Back
Top Bottom