John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Waliachana na fei wakaenda kwa somebody kouma ....ngoja tuone scout ya uto kama imewalipa😂Feisal Salumu Abdallah (Feitoto) ni mnyama
Waliachana na fei wakaenda kwa somebody kouma ....ngoja tuone scout ya uto kama imewalipa😂Feisal Salumu Abdallah (Feitoto) ni mnyama
Sasa yanga mnaumia niniHapo Bado Vitinha na YamalView attachment 3420634
Kwa hiyo wewe hujui kuwa Simba alizidiwa kete na Yanga kwenye usajili wa Mussa Balla Conte?Huyo simjui na huwa sifatilii
Najua nilisikia Kwa Ahmed Ally mwenyeweKwa hiyo wewe hujui kuwa Simba alizidiwa kete na Yanga kwenye usajili wa Mussa Balla Conte?
Ahmedy Ally ndio aliyeripoti kuwa Simba wamezidiwa kete?Najua nilisikia Kwa Ahmed Ally mwenyewe
Ndo aliyesema kuwa Simba wanamhitaji na wapo hatua za mwisho yaani 80%, na alisema walituma ticket 🎫 Kwa ajili ya kuja kumalizia usajili wake wa kujiunga na SimbaAhmedy Ally ndio aliyeripoti kuwa Simba wamezidiwa kete?
Kawalete kama ni rahisi kama unavyofikiriHata hao wachezaji wa mamelod wote wana miaka 29 years.
Hawatakaa hapa zaidi ya msimu 1.
Tena wapo kwa mkopo.
Hata ukinunua hawatatumika misimu hata 3 kutokana na age.
Afu watakuwepo kwenye kikosi Cha kwanza.
Sasa sijui wanataka wachezaji wenye uzoefu au Nini sijaelewa.
Africa Kuna wachezaji wengi sana sijajua vilabu vyetu vya TZ vinashida gani.
Sasa huoni kuwa hapo tayari ni tofauti na kumpangia mtu kuwa ukiuza nipe bil 1,sasa ikitokea umeuza chini ya Bil 1 je utafanyajeSiingilii ubishi wenu lakini hapa umejipotosha aidha Kwa makusudi au Kwa kutokujua. Mkataba wa Simba na Ahly kuhusu Miquisone ulikuwa na kipengele kama Ahly wataamua kumuuza Kwa timu yoyote ya Tanzania lazima aulizwe Simba Kwanza kama anamhitaji au la! Ndo maana Yanga walirukaruka lakini mwisho akarudi Simba. Kusema Hakuna mkataba wa kumpangia Mtu Jinsi ya kuuza mchezaji uliyewauzia hauko sahihi, inafanyika Sana.
Wewe unajua? Simba walitangaza lini kama wanamtaka huyo kenge wenu?Kwa hiyo wewe hujui kuwa Simba alizidiwa kete na Yanga kwenye usajili wa Mussa Balla Conte?
Mkataba hauna hicho kipengeleSasa huoni kuwa hapo tayari ni tofauti na kumpangia mtu kuwa ukiuza nipe bil 1,sasa ikitokea umeuza chini ya Bil 1 je utafanyaje
Umem confuse huyo na HansNdo aliyesema kuwa Simba wanamhitaji na wapo hatua za mwisho yaani 80%, na alisema walituma ticket 🎫 Kwa ajili ya kuja kumalizia usajili wake wa kujiunga na Simba
Msikilize Kwa makini Ahmed AllyUmem confuse huyo na Hans
Ahmedy Ally alikiri kuwa ni kweli walimuhitaji mchezaji, lakini hayo maneno ya tickets ni heka heka za Fabrizio kutafuta ugali wake
Kwenye negotiation ticket sio moja ya vitendo, acha upotoshajiMsikilize Kwa makini Ahmed Ally
Kumhitaji mchezaji kunaenda Kwa vitendo, yani ukimhitaji Kuna kitu utafanya kuonyesha Nia, kwaiyo Simba walimhitaji na Kuna hatua walifikia, ndipo YANGA akawazidi kete Simba wakamsain mchezaji
Sasa wewe unasemajeKwenye negotiation ticket sio moja ya vitendo, acha upotoshaji
Hizi mbanga za tickets ni katika upambanaji wa Hans kutengeneza narrative kuwa ni mchezaji mkubwa na alikuwa anahitajika na vilabu vikubwa ila Yanga wenyewe kupitia GSM waliweza ku win hiyo battle
We jamaa utakua unapigwa katerero sio bure!Sasa wewe unasemaje
Simba walimhitaji Balla Conte au hawakumhitaji?
Jibu swali?We jamaa utakua unapigwa katerero sio bure!
Nachotaka kusema ni kuwa kuna uongezwaji chumvi mwingi kwenye hizi tetesi. Yanga inamtumia Hans au Hans mwenyewe kwa mapenzi yake na Yanga amekuwa akifanya blanda kuonesha kila sajili muhimu ya Simba imekuwa overstepped na Yanga.Sasa wewe unasemaje
Simba walimhitaji Balla Conte au hawakumhitaji?
Me nimekuuliza, je Simba walimhitaji Balla Conte? Jibu ni ndiyo au hapanaNachotaka kusema ni kuwa kuna uongezwaji chumvi mwingi kwenye hizi tetesi. Yanga inamtumia Hans au Hans mwenyewe kwa mapenzi yake na Yanga amekuwa akifanya blanda kuonesha kila sajili muhimu ya Simba imekuwa overstepped na Yanga.
Na nyinyi Gongowazi mnashawishika kirahisi sana japokuwa wachache walimchoka kwa uzushi wake
View attachment 3420766
Kumbe hujajua hata kama umejibwa?Me nimekuuliza, je Simba walimhitaji Balla Conte? Jibu ni ndiyo au hapana
Ukishanijibu tutaendelea kuwazungumzia hao wachambuzi