Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Naona unataka kujimilikisha Uzi wa mwenzio.
I don't buy your bullshit..Hichilema ni ndugu yangu kwanza yote yanayotokea kwa timu nayoihusudu.lazima.nimuulize na napokea majibu yake ..mimi nihangaike na takataka.zingine kwa lipi haswa..
.😀
 
Simba yenyewe kila mwaka inajenga kikosi
Hata hao wachezaji wa mamelod wote wana miaka 29 years.
Hawatakaa hapa zaidi ya msimu 1.
Tena wapo kwa mkopo.
Hata ukinunua hawatatumika misimu hata 3 kutokana na age.
Afu watakuwepo kwenye kikosi Cha kwanza.

Sasa sijui wanataka wachezaji wenye uzoefu au Nini sijaelewa.
Africa Kuna wachezaji wengi sana sijajua vilabu vyetu vya TZ vinashida gani.
 
Inasikitisha sana
 
FB_IMG_1753559718195.jpg
 
Back
Top Bottom