Mshasha wane
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 251
- 665
Mkuu hiyo mali ni SimbaKwani habaki Azam? 🤣
Mkuu hiyo mali ni SimbaKwani habaki Azam? 🤣
Yawezekana ni kutangaza tu jezi za pre season mkuu..au tarehe ya kwenda.pre season tarehe 6 mwezi ujaoMimi nilivyoona tu herufi 6 halafu nimeona hapo juu ni Zanzibar, nikamalizia kuhesabu herufi za jina Feisal basi nimeamini kuwa ni Feisal anaenda Simba
Simba ni taifa kubwaTulia tu mkuu wachezaj watakua wa kawaida tu Wala usiwaze ..
Hapa una'guess au vyote vinafanyika kwa pamoja?1. Tarehe ya pre season
2. Sehemu ya pre season
3. Jezi mpya
4. Mdhamini mpya
5. Mchezaji mpya
ChaguaHapa una'guess au vyote vinafanyika kwa pamoja?
Hizo herufi sita ni betway mdhamini mpyaMimi nilivyoona tu herufi 6 halafu nimeona hapo juu ni Zanzibar, nikamalizia kuhesabu herufi za jina Feisal basi nimeamini kuwa ni Feisal anaenda Simba
graphics designer wa Simba naye pia apewe Thank you
Hata sio bwana nina uhakika..wenzao wanasajili vifaa , wao Wana tafuta attention watu hawataki attention wanataka sajili za wachezaji WazuriSiyo Fei?
Huzuni kwa kipi dogo ? Kutomsajili conte na Kumah? Give me a break!!Mashabiki wana huzuni kubwa sana ktk huu uzi.
Duh kwahiyo ni famba tu!!!??Porojo tu za media puppets wa yanga.
Punguza ushabiki huu uzi ni wa tetesiHuzuni kwa kipi dogo ? Kutomsajili conte na Kumah? Give me a break!!
Mimi sio shabiki dogo, nyinyi ndio mna mihemko ya kiwaki...tulizeni wenge.Punguza ushabiki huu uzi ni wa tetesi
Kawaulize media puppet wa utopolo watakuambiaDuh kwahiyo ni famba tu!!!??
Puppet wako wa Simba wa sahihi sio?Kawaulize media puppet wa utopolo watakuambia
Mwamba hili jina umelikazia kwema. **** 😀Kouyate (Kuyate)
Mamadou (Mamadu)
Doumbia (Dumbia)
Kouma (****)
Wako sahihi wewe huoni, au ndio kujitoa ufahamu...fucking yanga puppets....hamuwez kwenda mbele bila Simba nyie. Sonona anayo Ali kamwe...give him that bullshit advice.Puppet wako wa Simba wa sahihi sio?
Una sonona muone psychologist