Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Nimezungumzia defense, maana defense ndio inatoa inayokupa makombe, two key defense player umeuza Che na Shabala, beki uliobakia nao ni wawili tu,Kapombe na Hamza.
Hivi che naye ni key defence player?unajua simba kasababisha magoli mangapi?na alipokuwa benchi pengo gani ilionekana?kama unamlalamikia sana kuondoka msajili wewe,Shabalala ndo hatukutegemea ila chemalon watu walishaona hana umuhimu wewe ndo unaona
 
Wewe unatazama makosa ya Che maloni
Ila huangalii makosa ya nafasi zingine uwanjani, kama goal keeper, Viungo waliopoteza mipira kizembe na washambuaji waliokosa magoli ya wazi
 
Alikuwa anafanya makosa ya kujirudia,wengine wanafanya makosa kama chasambi kujifunga,hajarudia ila yeye makosa yake ni yale yale pasi zisizofika,na kukosea pasi na kumpa adui, rudia kusoma MAKOSA YA KUJIRUDIA MARA KWA MARA.
 
Mkuu naona thread yako inaanza kupata matangazo 😂😂 Inabidi uwachaji 😀

Anyway huyo mchezaj naona ghali kweli..value Market Dola 650K ?
Kabisa mkuu. Sema Afrika ndo vile tena. Tajiri kachafukwa
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Alikuwa anafanya makosa ya kujirudia,wengine wanafanya makosa kama chasambi kujifunga,hajarudia ila yeye makosa yake ni yale yale pasi zisizofika,na kukosea pasi na kumpa adui, rudia kusoma MAKOSA YA KUJIRUDIA MARA KWA MARA.
Nafasi ya beki wa kati ni ngumu, makosa waliofanya wachezaji wote huja kumwangukia yeye
Che Maloni ni beki mzuri Kwa ana kasi, nguvu, anaruka, anafanya tackling za uhakika, ni vigumu kupata beki alaiyekamilika kama huyu
Naamini hakupata partnership nzuri pale Simba
Kumbuka baada ya kuondo Inonga ndo mambo yakawa magumu
 
Hivi che naye ni key defence player?unajua simba kasababisha magoli mangapi?na alipokuwa benchi pengo gani ilionekana?kama unamlalamikia sana kuondoka msajili wewe,Shabalala ndo hatukutegemea ila chemalon watu walishaona hana umuhimu wewe ndo unaona
Sawa sasa kwani nini yeye kila siku alikuwa anaanza hao wenzake hawakuonekana? Maana Che kacheza zaidi ya asilimia themanini ya mechi zote msimu uliopita, vipi waliobaki mbona walikuwa hawamweki benchi. Kama Che mbovu basi waliobaki watakuwa wabovu zaidi yake maana yy ndiye alikuwa anaanza.
 
Both Neo Maena and Rushine De Reuck kama dili zao zikitimia wanaenda kwa mkopo Simba SC kwa kipindi cha mwaka mmoja mmoja.
 
Sawa sasa kwani nini yeye kila siku alikuwa anaanza hao wenzake hawakuonekana? Maana Che kacheza zaidi ya asilimia themanini ya mechi zote msimu uliopita, vipi waliobaki mbona walikuwa hawamweki benchi. Kama Che mbovu basi waliobaki watakuwa wabovu zaidi yake maana yy ndiye alikuwa anaanza.
Kocha Fadlu mwenyewe alisema ni mzuri kwa mipira mirefu ya kufanya mashambulizi lakini siyo mzuri kwenye defence
 
Back
Top Bottom