Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Kocha Fadlu mwenyewe alisema ni mzuri kwa mipira mirefu ya kufanya mashambulizi lakini siyo mzuri kwenye defence
Mbadala wake alikuwa nani na alicheza mechi ngapi,saa nyingine kocha hana jinsi bali alitumia alichokuwa nacho.
 
Kouma to Yanga, here we go
FB_IMG_1753470889589.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_1753470889589.jpg
    FB_IMG_1753470889589.jpg
    337.7 KB · Views: 25
1. Vilabu vya Young Africans, Kaizer Chiefs na Simba SC vinapigana vikumbo kumpata Feisal Salum ( Fei Toto)
2. Mourice Abraham ni mnyama
3. Thank you Augustine Okejepha (CONFIRMED)
4. Thank you Kouass Yao
5. Golikipa wa JKT Tanzania , Yakubu Suleiman anavivutia vilabu vya Yanga na Simba
6. Aish Manula anaelekea Azam FC, Yanga pia wanamnyatia (CONFIRMED- AZAM FC)
7. Thank you Sure boy
8. Thank you Jonas Mkude
9. Kama Simba itampata winga mwingine, basi itaachana na Joshua Mutale
10. Frolent Ibenge ni kocha mpya wa Azam FC( CONFIRMED)
11. Kiungo raia wa Ivory Coast, Mohamed Doumbia anakaribia kujiunga na Young Africans SC
12. Thank you Fabrice Ngoma (CONFIRMED)
13. Thank you Omary Omary(CONFIRMED)
14. Deborah Fernandez Mavambo anaweza kuachwa na Simba SC kama itampata mbadala wake ( CONFIRMED)
15. Farid Mussa anaweza kuondoka Yanga
16. Thank you Gibril Sylla ( CONFIRMED)
17. Jonathan Ikangalombo anaweza kuachwa na Yanga
18. Ayoub Lakred ameondoka rasmi Simba SC (CONFIRMED)
19. Beki wa Al Hilal ya Sudan, Kadim Diaw anatakiwa na Simba SC
20. Valentine Nouma anaweza kupewa thank you kama Simba itampata Kadim Diaw (CONFIRMED)
21. Celestine Ecua anavipiganisha vilabu vya Simba na Yanga
22. Kennedy Musonda anaweza kuondoka Yanga. (CONFIRMED)
23. Lameck Lawi anaelekea Azam FC kama mambo hayatabadilika (CONFIRMED)
24. Higino Kapitango anatakiwa na Simba
25. Thank you Kocha wa Yanga, Miloud Hamd ( CONFIRMED)
26. Kiungo Mkabaji kutoka Mlandege, Abdulnassir Mohamed amesaini Yanga
27. Ahmed Bakari Pipino wa KMC anawindwa Vikali na Azam Fc na Yanga
28. Himid Mao Mkami anatarajiwa kurejea Azam FC ( CONFIRMED)
29. Muhsin Malima anaelekea Azam(CONFIRMED)
30. Miguel Gamondi anaelekea Singida Black Stars ( CONFIRMED)
31. Malanga Horso Mwaku, anatakiwa na Yanga
32. Stephane Aziz Ki, hajawafurahisha mabosi wa Wydad, mkataba wa mkopo wa miezi miwili unaweza usiongezwe
33. Khaled Ben Yahia anaweza kuwa kocha mpya wa Yanga kama mambo hayatabadilika(COLLAPSED)
34. Celestine Ecua ni mwananchi
35. Julien Chavenier naye anaweza kuwa kocha wa Young Africans(COLLAPSED)
36. Wilson Nangu wa JKT, anaweza kujiunga na Simba SC
37. Thank you Mzamiru Yassin
38. Thank you Aziz Andabwile
39. Thank you Hussein Kazi(CONFIRMED)
40. Thank you Kennedy Musonda(CONFIRMED)
41. Manishimwe Djabel amesaini Azam FC
42. Simba SC wanaangalia uwezekano wa kuingilia dili la Celestin Ecua kutua Yanga
43. Hussein Abel anaelekea Singida Black Stars
44. Souleymane Coulibally anaweza kusaini Simba(COLLAPSED)
45. Offen Chikola anaweza kujiunga na Young Africans ( CONFIRMED)
46. Keep an eye on Fondoh Malone
47. Mkataba wa Chama umeisha, hajasaini mwingine. Azam wanamtolea macho
48. Thank you Fondoh Malone. Anauzwa Algeria
49. Edwin Balua anaelekea Cyprus kwa mkopo (CONFIRMED)
50. Mofosse Karidioula anatakiwa na Simba
51. Israel Mwenda huenda akarejea Singida Black Stars
52. Thank you Kelvin Kijiri(CONFIRMED)
53. Balla Moussa Conte ni mnyama(COLLAPSED)
54. Celestine Ecua amekubali kusaini Yanga
55. Romain Folz anaweza kuwa kocha wa Yanga kama target nyingine zikigoma
56. Charvey Onoya anatakiwa na Simba SC
57. Basiala Agey anatakiwa na Azam na Simba SC
58. Debora Fernandez Mavambo anaweza kuondoka Simba SC (CONFIRMED)
59. Japhite Kitambala anaweza kujiunga na Azam FC baada ya CHAN
60. Keep an eye on Steven Mukwala
61. Keep an eye on Kibu Denis
62. Thank you Vicorien Adebayor
63. Thank you Arthur Badda
64. Keep an eye on Mohamed Hussein Zimbwe (CONFIRMED)
65. Romain Folz ndiye kocha mpya wa Yanga ( CONFIRMED)
66. Charles Semfuko anaweza kujiunga na Simba Sc
67. Uwezekano wa kipa wa Yanga, Djigui Diara kuondoka ni mkubwa
68. Keep an eye on Khalid Aucho
69. Uwezekano wa Mohamed Hussein Zimbwe kubaki Simba ni mdogo sana. (CONFIRMED)
70. Keep an eye on Kibu Denis
71. Kelvin Mondeko anakaribia kujiunga Young Africans
72. Che Malone Fondo kauzwa USM Algers ya Algeria
73. Denis Nya anatakiwa na Simba SC
74. Thank Debora Fernandez Mavambo(CONFIRMED)
75. Bosco Nchindo anatakiwa na Simba SC
76. Nouh El Abdi anatakiwa na Simba SC
77. Thank you Mohamed Hussein Zimbwe. (CONFIRMED)
78. Lassine Kouma anatakiwa na Simba
79. Private Djessan anatakiwa na Simba SC
80. Edmund John anatakiwa na Yanga.
81. Cheikh Omar Faye anatakiwa na Azam Fc
82. Lamine Jarjou anaelekea Singida Black Stars
83. Andy Boyel anatakiwa na Young Africans
84.Dramane Kamagate anatakiwa na Simba SC
85. Abdallah Kulandana anatakiwa na Simba SC
86. Alassane Kante ni mnyama
87 Keep an eye on Leonel Ateba
88. Mohamed Bajaber anatakiwa na Yanga, Simba pia
89. Lasine Kouma anatakiwa pia na Yanga. Anakaribia kwenda huko
90. Kiungo Rodriguez Kossi anatakiwa na Simba
91. Thank you Denis Nkane
92. Keep an eye on Jonathan Sowah
93. Jonathan Sowah anatakiwa na Simba SC
94. Jonathan Sowah ni mnyama
95. Leonel Ateba anaelekea kuuzwa
96. Valentino Mashaka anaelekea Mbeya city kwa mkopo kama mambo hayatabadilika
97. Chama anatakiwa na Singida Black Stars
98. Yahya Zayd anatakiwa na Simba SC
99. Rushine De Reuck ni mnyama
100. Neo Maema wa Mamelod Sundowns anaelekea Simba SC
101. Idrisa Diomande anatakiwa na Singida Black Stars
.
 
Back
Top Bottom