ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Feisal hawezi kucheza SimbaNilisema usajili mkubwa unakuja hapo awali wa kunibeza wakanibeza. I was sure of what was coming
Hii haipo
Feisal hawezi kucheza SimbaNilisema usajili mkubwa unakuja hapo awali wa kunibeza wakanibeza. I was sure of what was coming
Wekeni Billion 1 yetu mezaniUsajili mzuri sana. Naona ni mapenzi kwa klabu na pia kuvutiwa na project
Ila hata Mimi nawezaje kurudi timu iliyokua inani undermine na kufikia kumdhihaki mama mzazi...nisingeweza kurudi kamwe...kakataa na pesa za Azam..sometimes it's not about the money....fei ni mtu mwenye hulka flani hivi...anyway let's goo..! Here we go!
Itakuwa habari njema kwa wana lunyasiYa kweli
Mbona wanasema Mpanzu amegoma kuendelea na Simba. Halafu Sowah timu yake (Singida Black Star) inataka ilipwe 2.6 billionsFeisal, Mpanzu, Sowah Up front
Ni kweli kabisa. Sasa sijui itakuaje.Mbona wanasema Mpanzu amegoma kuendelea na Simba. Halafu Sowah timu yake (Singida Black Star) inataka ilipwe 2.6 billions
kunywa maji kwanza usije ukatukanaFeisal hawezi kucheza Simba
Hii haipo
Mbona wanasema Mpanzu amegoma kuendelea na Simba. Halafu Sowah timu yake (Singida Black Star) inataka ilipwe 2.6 billions
tembelea page ya singida black stars sasa hivi then urudi tena jfMbona wanasema Mpanzu amegoma kuendelea na Simba. Halafu Sowah timu yake (Singida Black Star) inataka ilipwe 2.6 billions
Kuna taarifa nimeiona sehemu, ally kamwe anasema mpanzu akibaki simba atatoa 10 millions.Hakuna kitu kama hicho mkuu, Singida tayari wameshamuaga Sowah na kubariki usajili wake Simba. Mpanzu ana ruhusa maalum atajiunga na timu muda wowote kwenda kambini Misri...
Feisal atacheza Simba. Mimi nimesemaFeisal hawezi kucheza Simba
Hii haipo
Bila shaka kutoka media journalist puppet wa yanga.Kuna taarifa nimeiona sehemu, ally kamwe anasema mpanzu akibaki simba atatoa 10 millions.
Usiwaamini wasemaji wa hivi vilabu. Sell on clause ni rahisi kuiepuka kwa mchezaji mwenyewe kuvunja mkataba ili timu isionekane imemuuza. Kiufupi ni Azam atapewa hela amuachie msimu huu au ataondoka bure msimu kesho kwenda Simba. Atapewa jezi namba 6Wekeni Billion 1 yetu mezani
Mpelekeni huyo FEI
Kivyovyote vile Feisal ni mchezaji wa Simba.Kama ni kweli Simba wamefanikiwa kumpata Feisal basi imani yangu inaanza kurudi kwenye huu usajili,Feisal ni mchezaji mzuri sana halafu mpambanaji
🙃Bila shaka kutoka media journalist puppet wa yanga.
Mbona wanasema Mpanzu amegoma kuendelea na Simba. Halafu Sowah timu yake (Singida Black Star) inataka ilipwe 2.6 billions