Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Hapana simba inatakiwa iwe na namba kumi wawili wazuri na siyo wa kukaa benchi, kama wakimuuza ahoua watafute mwingine wa kusaidiana na feisal, kuna yule john bosco nilisikia anaenda simba dili lake limeishia wapiFei anatosha