- Thread starter
- #1,221
Subiri kidogo mkuuWangeuza na AHOUA wakavuta Bin Zayd
Subiri kidogo mkuuWangeuza na AHOUA wakavuta Bin Zayd
Nyinyi kwa Yanga mtaendelea tu kuwa wayeja wao. Maana hakuna namna nyingine. Hata mumsajili Lamine Yamal, mtakalishwa tu chini.Ndio maana nikasema muda ni mwalimu Mzuri kwa wanafunzi WANAOKARIRI maisha
B 1 ni ya Azam siyo YangaWekeni Billion 1 yetu mezani
Mpelekeni huyo FEI
Mwana wee! MbaFeisal hawezi kucheza Simba
Hii haipo
Mnajazwa upepo, baadaye mnaambiwa tena Fei Toto amebakia Azam.Usajili mzuri sana. Naona ni mapenzi kwa klabu na pia kuvutiwa na project
Ila hata Mimi nawezaje kurudi timu iliyokua inani undermine na kufikia kumdhihaki mama mzazi...nisingeweza kurudi kamwe...kakataa na pesa za Azam..sometimes it's not about the money....fei ni mtu mwenye hulka flani hivi...anyway let's goo..! Here we go!
Wapi Steven Mukwala, Lionel Ateba na Joshua Mutale (Budo)? Mashabiki wa simba nyakati hizi za usajili huwa mnajaa sana upepo kupitia hizi tetesi.Feisal, Mpanzu, Sowah Up front
Ila umaskin mbaya sana mkuu...hivi mtu kweli anafurahia kua Simba itaumia kutoa mere/small 1 billion ? Acha nicheke tu...japo najua hela haiendi kwao mana zile zilikua propaganda zao walianzisha kwa ajili ya kuwapa mabichwa mashabiki wao...eti akiuzwa ndani ya Tanzania tunataka bilioni 2 ..mkataba gan wa kiwaki kama wa sultani mangungo wa msoveroB 1 ni ya Azam siyo Yanga
Hiyo bilioni 1 anatoa Mangungu au Mwekezaji!! Comrade acheni kueapumbaza mashabiki kupitia hizi tetesi zenu. Na vipi kuhusu kocha mpya wa Azam! Unategemea atakubali kirahisi tu mchezaji tegemeo kwenye timu kuuzwa kwa timu pinzani kwenye ligi hiyo hiyo?B 1 ni ya Azam siyo Yanga
Kila la heri kwake. Na akumbuke tu kuifunga Yanga kila mechi atakayo cheza nao, ili apendwe na mashabiki. Akishindwa kufanya hivyo, basi ajiandae kwa shutuma lukuki zisizo na ushahidi.View attachment 3420492
Taarifa ya Sowah hii hapa
Tatizo la Sowah ni nidhamu, utadhani ni Balotel.Kila la heri kwake. Na akumbuke tu kuifunga Yanga kila mechi atakayo cheza nao, ili apendwe na mashabiki. Akishindwa kufanya hivyo, basi ajiandae kwa shutuma lukuki zisizo na ushahidi.
Siko hapa kukufurahisha wala kukuudhi, siokoteleziHiyo bilioni 1 anatoa Mangungu au Mwekezaji!! Comrade acheni kueapumbaza mashabiki kupitia hizi tetesi zenu. Na vipi kuhusu kocha mpya wa Azam! Unategemea atakubali kirahisi tu mchezaji tegemeo kwenye timu kuuzwa kwa timu pinzani kwenye ligi hiyo hiyo?
Au unafikiri Ibenge ni kocha wa mchongo na asiyependa kushindana mwenye ligi kwa ajili ya makombe?
🚨 Klabu ya JS Kabylie imetuma ofa rasmi ya USD 600,000 (Tshs Bilioni 1.5) ili kupata saini ya Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Jean Charles Ahoua kuelekea msimu ujao
Simba SC wanaipitia ofa hiyo na ikiwalidhisha watamuuza kiungo Jean Charles Ahoua ambaye amekuwa na msimu bora sana.
Muda wa wanasimba kuongea bado japo unakaribiaPole.
Unaandika kwa uchungu sana.
Yani wanasimba wakisifia wachezaji oo hata msimu uliopita miliwasifia ila mkakosa ubingwa, wakikaa kimya oo hata kwenye derby mlikaa kimya ila mkafungwa na mkakosa ubingwa, hivi uto mnajua hata mnachokikosoa kweli au mnakosoa tu kama manyumbuUzuri mtatoka huko mapangoni na akina Khadim Diaw mnaowaficha tuwapige tena
Nimegundua upumbavu wa mashabiki wa yanga kwa sasa unafichwa na timu kuchukua ubingwa wa mchongo, siku mambo yakienda kinyume ndio watu wataona jinsi gani hiyo timu ina mashabiki wajinga, yani leo hii ukiongelea madhaifu ya yanga jibu pekee walilonalo mashabiki wao ni tunachukua ubingwa wala hawajibu hoja ila ni suala la muda tuNyinyi kwa Yanga mtaendelea tu kuwa wayeja wao. Maana hakuna namna nyingine. Hata mumsajili Lamine Yamal, mtakalishwa tu chini.
Unaonaje mkuu hapo..sio kwa ubaya Ila nadhan tupate mbadala wake ambaye Yuko sharp zaidi japo jamaa staili.yaks utadhan hafanyi kitu ila ndio top scorerSahihi
Teeh teeh.Muda wa wanasimba kuongea bado japo unakaribia
Yani wanasimba wakisifia wachezaji oo hata msimu uliopita miliwasifia ila mkakosa ubingwa, wakikaa kimya oo hata kwenye derby mlikaa kimya ila mkafungwa na mkakosa ubingwa, hivi uto mnajua hata mnachokikosoa kweli au mnakosoa tu kama manyumbu
Nimegundua upumbavu wa mashabiki wa yanga kwa sasa unafichwa na timu kuchukua ubingwa wa mchongo, siku mambo yakienda kinyume ndio watu wataona jinsi gani hiyo timu ina mashabiki wajinga, yani leo hii ukiongelea madhaifu ya yanga jibu pekee walilonalo mashabiki wao ni tunachukua ubingwa wala hawajibu hoja ila ni suala la muda tu
Fei anatoshaUnaonaje mkuu hapo..sio kwa ubaya Ila nadhan tupate mbadala wake ambaye Yuko sharp zaidi japo jamaa staili.yaks utadhan hafanyi kitu ila ndio top scorer