Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Mpira wa kisasa hakuna mchezaji ambae anajukumu la kukaba pekeake au kushanbulia pekeake, kukaba kutengeneza kufunga ilo ni jukumu la kila mchezaji uwanjani, pengine kama unazungumzia mpira wa miaka iyo sio sasa,
Sawa ila cha kwanza lazima utimize majukumu yako ya msingi,then hivyo vingine ni added wewe defense midfilder ni kukaba ni first task yako ,ukifunga huku utimizi majukumu yako hufai kwenye timu.
 
Nuno mendes vs Chelsea
😂😂😂😂😂
 
Sawa ila cha kwanza lazima utimize majukumu yako ya msingi,then hivyo vingine ni added wewe defense midfilder ni kukaba ni first task yako ,ukifunga huku utimizi majukumu yako hufai kwenye timu.
Yalimkuta Nuno mendes hayo kwenye mechi dhidi ya Chelsea.
Anapanda kama wing..
 
Magoli sio criteria ya kupima ubora wa defense midfilder. Ni wekee hapa kapora mipira mingapi, anatackling ngapi, kapiga key pass ngapi za kuanzisha mashambulizi, je anaisaidia vipi beki yake ikiwa haina,anaisaidia vipi timu ikiwa inampira na wakati haina mpira.

Sikumbuki mara ya Mwisho Kante kufunga ni lini, sikumbuki Sergio Busquets kufunga ni lini but ni moja ya viungo bora wakabaji katika miaka ya hivi karibuni.

Utachekwa ukiongea ushubwada wa kumpima kiungo mkabaji na idadi ya magoli, sasa tufanye anafunga halafu kazi yake ya msingi haifanyi unategemea kwenye timu kitakokea nini?

Nyie wengine mnatizama mpira ila sizani kama mnauelewa.
Kupitia vyanzo vya Sofascore, FBref, na FootyStats nimejaribu kuangalia stats za Busquets katika mechi 27 yani nusu ya mechi alizocheza Balla Conte. Hapa sijataka kwenda mechi 55 kufanya uwiano sawa.

MechiTareheMashindanoAssist
vs D.C. UnitedMay 18MLS1
vs Atlanta UnitedMay 29MLS1
vs MonterreyApr 11CONCACAF Champions1

Tafiti zinaonesha Busquets hakupata goli lolote kwenye mechi 27 ila alifanikiwa kupata assist 3.

Niliporudi kwa Ngolo Kante naye kwenye mechi 27 alikuwa na goli 4 pamoja na assist 3

Mechi Ambazo Alipata Magoli​

  • vs Al-Riyadh – 1 goli
  • vs Al-Ettifaq – 1 goli
  • vs Al-Qadsiah – 1 goli
  • vs Al-Orobah – 1 goli

Mechi Ambazo Alitoa Assist​

  • vs Al Kholood – 1 assist
  • vs Al-Hilal – 1 assist
  • vs Belgium (UEFA Nations League) – 1 assist
Kwa hiyo bado hujani convince nikashawishika na hoja zako kufafanua kwanini kitendo cha mechi 55 kwa mchezaji wa ndani kutokuwa na goli wala assist isiwe uzembe?
 
  • Nzuri
Reactions: K11

Inawezekana tuna uelewa wa mpira tofauti.
 
Mpira wa kisasa hakuna mchezaji ambae anajukumu la kukaba pekeake au kushanbulia pekeake, kukaba kutengeneza kufunga ilo ni jukumu la kila mchezaji uwanjani, pengine kama unazungumzia mpira wa miaka iyo sio sasa,
Watu wanajaribu tu kutafuta justifications tu lakini hata wao wanajua wakivaa jezi wacheze kwenye hiyo nafasi hawawezi kumaliza games 55 wakatoka kapa bila hata assist 1.

Beki wa kati na DM ni nani ambaye role yake ya kiulinzi inamhitaji zaidi ku stick kwenye kulinda kuliko kupanda juu kushambulia?

Lakini tunaona mabeki wakati wanafunga na wana mwaga majalwa watu wana skoo

Lakini huyu mwamba anacheza misimu miwili pasipokupata hata assist 1.
 
Inawezekana tuna uelewa wa mpira tofauti.
Katika huo uelewa wako ulikuwa unaenda sawa kwa kunipa references za baadhi ya wachezaji ili kunifaamisha uelewa wako upo legit.

Fact inapingwa kwa fact na ndio maana nime dispute claims zako kwa kuonesha numbers za hao wachezaji kwenye michezo 27 yani nusu ya kile alichokifanya Balla Conte.
 
Fact ipi ,kwani main Responsibility ya DM ni ipi?
 
Alfu Lela U lela zingatia hii comment, tena huu mfano mzuri sana kutoka Record Man japo hakufunga, ila alikuwa anapandisha mashambulizi kilicho mkuta goli zote mbili zimetokea upande wake.
Mendez ndie mlinzi bora wa pembeni upande wa kushoto kwasasa, anauwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia, kilichotokea kwenye ile mechi ndo huwa tunasema mpira uheshimiwe, muundo wao wa kiulinz kiujumla psg ndo uliwahukumu hakukuwa na mchezaji aliekuwa na cover nafasi kwa wakati ule upande wa kushoto matokeo yake Chelsea walikua free kupita, lakini kaangalie kile alichokua anakifanya mendez huwa anakifanya kila mechi
 
Fact ipi main Responsibility ya DM ni ipi?
Main responsibility sio mchongo kwenye modern football

Defensive Midfielder (DM) imebadilika sana kutoka jukumu la kawaida la kuzuia mashambulizi hadi kuwa kiungo wa kiufundi na kimkakati.
 
Mkuu huwa unanikera sana lakini ni ukweli mchungu... kwenye usajili huwa tunakuwa na furaha kuliko yanga lakini mwishoni plot ina twist.
Pole sana Comrade kama ninakukera sana. Na nimependa umekuwa muwazi, na pia hujanitukana. Ila mara nyingi mimi ni mtu wa utani tu na kufurahisha genge. Usiyachukulie maoni yangu kwa uzito mkubwa.
 
Me wala sikufautilii wewe
Huu Uzi una wachangiaji wengi waelewa.
Jamii forums ni jukwaa huru ni hapa kusoma na kutoa maoni
Hapa nakukemea acha kupotosha
Nina uhakika muda sio mrefu utaumbuka Kwa kuwaaminisha mbumbumbu ati FEI atacheza Simba na ukijua mkataba ulivo na Bado Azam wanahitaji FEI kwenye project ya coach Ibenge
Mkuu huyo jamaa hata akiwa Simba sio dhambi mbona wewe umeonyesha mapenzi na yanga na unasema Fei atacheza yanga na wala hakuna anayeona umetenda dhambi, kuwa yanga au Simba sio dhambi...
 
Mendez ndie mlinzi bora wa pembeni upande wa kushoto kwasasa, anauwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia, kilichotokea kwenye ile mechi ndo huwa tunasema mpira uheshimiwe, muundo wao wa kiulinz kiujumla psg ndo uliwahukumu hakukuwa na mchezaji aliekuwa na cover nafasi kwa wakati ule upande wa kushoto matokeo yake Chelsea walikua free kupita, lakini kaangalie kile alichokua anakifanya mendez huwa anakifanya kila mechi
Sijakataa ila sifa ya beki lazima uwe dynamics, ujue wakati huu unapanda wakati unashuka mwangalie Evra, Alves, Robert Carlos.Yy alishindwa kuusoma mchezo na attempt nyingi zilitokea upande wake. Chelsea walisha msoma udhaifu wake na ndio maana hata counter zao walikuwa wanazipitisha upande wake.
 
Mkuu msimu huu , yanga wamepata pont 3 ambazo sio halali Ile mechi ya Darby ya kwanza dhidi ya Simba.

Hivyo inajulikana.

Ila kwa Simba ni point zaidi ya 3 zipo mechi kama shida ya pamba jiji Ile ya kwanza, singida Ile mechi ya 2, mashujaa mechi zote mbili Hilo liko wazi kabisa.

Madhaifu ya yanga yalikuwa beki wa kulia na kutengeneza mashambuli kupitia katikati. Ambayo wamejaribu kuyasolve.
Yanga Hana shida, hata Simba achukue Feisal...yanga tushatibu homa kidogo tulokuwa nayo.
Ligi sasa ianze ubishi uhamie Kwa GSM
 
Azam wana project Yao na wapo serious msimu huu
Hawawezi kumtoa key player wao ili mashabiki wa Simba wafurahie
Uongozi wa Simba unafanya mwendelezo wa kuwapumbaza mashabiki Kwa propaganda nyepesi
Wachezaji wapo wengi washushe vyuma waache maneno
Mbona Yanga walimtoa Mayele wakati ni key player na wako na project nae?
 
Main responsibility sio mchongo kwenye modern football

Defensive Midfielder (DM) imebadilika sana kutoka jukumu la kawaida la kuzuia mashambulizi hadi kuwa kiungo wa kiufundi na kimkakati.
Defensive Duties: Intercept passes, tackle opponents, and break up attacks. Hazijawahi kubadilika na hazito badilika

Ila zilizo ongezeka ni kuwa na uwezo wakupiga key passes za kuanzisha mashambulizi,Mf Yanga movement karibia zote zinaananzia kwa Aucho.Lakini kama hujatimiza za juu ,basi hata ukiwa mzuri vipi wa kupiga key passes ni kazi bure.
 
Back
Top Bottom