Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Mimi huko siataka kujikita. Na uhakika huko namba zake ni nzuri japokuwa hata upande huu unaweza kuwa debatable kama uta argue kuwa Balla Conte amemzidi mbali KagomaSawa hajawahi kufunga vipi ana key passes ngapi,ana interception ngapi, tackling ngapi amepora mipira mara ngapi ? Hizi rekodi hujaweka kwani haya ni majukumu yake ya msingi.
Kwasababu takwimu tu za CAF kwa mashindano ya shirikisho msimu ulioisha Kagoma alishika nafasi ya 83 wakati Balla conte alishika nafasi ya 97
So kupima kiwango cha promo na numbers zake ndio kitu ambacho ni irrelevant na ndio sababu na dispute baadhi ya narrative za kumkingia kifua kwa uzembe wa kuto assist wala goli kwa mechi 55