Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

FB_IMG_1753787342459.jpg
 
Baada ya chai ya Hersi na Ngungu sasa turudi kwenye tetesi za usajili
 
  • Thanks
Reactions: K11
Ila mpira una dharau sana, humu mtu akishashiba mihogo na simu kafunga na rubber band lakini anacomment "watupe Bilioni 1 yetu wao watajuana na Azam" au "tumetoa milioni 600 kumsajili Conte" 😂 mara "Simba maskini wale, hawana bilioni 2"

Nawakubali matajiri, tuko pamoja 😂
Yaan mgao atakaopata kwenye hyo billion Moja hamna hamna ni kwenye zile supu tu basi😂😂
 
Back
Top Bottom