Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Nawapongeza watani zangu mbumbumbu Kwa utambulisho wa wachezaji wapya katika jezi mpya za msimu.
Ila huyo beki kama mrembo ataweza kuzuia Mafuriko ya Pacome, Max, Doumbia, Ecua, Kouma, Dube

Karibu Rushaina Manara
Screenshot_20250729-213358.png
 
Tukutane June 2026 ili kufunga mahesabu yetu. Kusajili kwa malengo ya ushindi ni tofauti kabisa na kusajili
kwa ajili ya kufurahisha mashabiki.

Mwenye malengo ana nafasi kubwa ya kufanikiwa kuliko mwenye nia ya kufurahisa mashabiki kwani lengo la mashabiki hukamilika mara baada ya usajili tu, wakati mwenye melengo huyakamilisha mwishoni mwa msimu.


Bookmark this post since I will revive it in June 2026 !
 
Back
Top Bottom