Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Antony Mlingo anatakiwa na Simba SC
Mkuu Kuna kitu nilikisema wakati flan kua viongoz waache kuleta wachezaj wa 10% ..
Sasa Kuna taarifa zinasema kocha kaja kambini kakuta mchezaji ambaye hamjui na sio anaemtaka..wanapigiwa simu viongozi wanapiga blah blah ..kocha kawaambia labda kama amekuja kua mtazamaji wa mechi ila hatocheza mechi hata Moja sababu hayuko kwenye mipango yake na sio mchezaji aliempendekeza au aliemtaka. Kuna viongozi wa hizi timu wanatakiwa kuacha ubabaishaji.
 
Ukiwa umezoea kuvaa kata mbuga ukiwa nzovwe huko ndanindani basi hata viatu vya kijanja utaviona vya ajabu kweli nimeamini
Samahani mkuu sio Kwa UBAYA
Ilo ni bonge la dundo.,
Na linapiga boli kama kawa,fatilia historia
ILA KUTUTUKANA WA NZOVWE SIJAPENDA
 
Mkuu Kuna kitu nilikisema wakati flan kua viongoz waache kuleta wachezaj wa 10% ..
Sasa Kuna taarifa zinasema kocha kaja kambini kakuta mchezaji ambaye hamjui na sio anaemtaka..wanapigiwa simu viongozi wanapiga blah blah ..kocha kawaambia labda kama amekuja kua mtazamaji wa mechi ila hatocheza mechi hata Moja sababu hayuko kwenye mipango yake na sio mchezaji aliempendekeza au aliemtaka. Kuna viongozi wa hizi timu wanatakiwa kuacha ubabaishaji.
Yeah hata mimi nilisikia fadlu kasema msimu ujao hatamtumia mchezaji yeyote ambaye si pendekezo lake, mimi naona simba tuende hivi hivi na kama timu itaanza kufanikiwa basi tutajua mchawi nani (japo mangungu muda wake ukiisha inabidi atupishe), maana nasikia safari hii wale wazee wa asilimia kumi na wale mamluki wamewekwa pembeni kwenye usajili nao wanasubiri kusikia mitandaoni kama sisi tu
 
Kweli kabisa mkuu ..watu waache ujinga ..ligi inaitaji makocha aina ya fadlu ...sio Simba tu ..timu nyingi bongo viongozi wanapanga kikosi Hadi kuchagua wachezaji wa kucheza ..ila Kuna sajili sijazielewa ama ni tetesi tu mfano huyo wa Kenya ..sio 10% ya mtu hio? Sijui wa costal union ..Kuna sajili kama Tano hivi za wachezaji magumashi ,
 
Msimu uliopita maneno yalikuwa kama haya wakati wa usajili kwamba boss Mo kaingia mzigoni mwenyewe hakuna ubabaishaji ila mwisho wa siku mkaanza vilio vya akina Budo
 
Huyo wa kenya ni done deal mkuu na nasikia kashatua bongo ila hao wengine sijasikia nadhani itakuwa tetesi tu ila kama ni kweli na hao wachezaji siyo pendekezo la kocha basi ngoja tuone ataamua nini, ila matola naye nasikia ndio wale wale na huwa anafanya kila namna kuleta wachezaji wake wabongo wa asilimia kumi na kulazimisha wasajiliwe, na kuwaahidi kwamba watakuwa wanapangwa mara kwa mara na ikitokea kocha mkuu akawa kichwa ngumu wanampigisha shoti ili aondoke sasa safari hii wamekutana na chuma cha reli
 
Hebu acheni kujihami hizi kauli zenu tushazizoea kila kitu oo msimu uliopita mlisema hivi msimu uliopita mlisema vile wakati vingine ni uzushi endeleeni kukariri tu, yani ninyi sasa hivi ndio mnahangaika na simba ilihali simba wala hawahangaiki na ninyi wanafanya mambo yao, hebu tulieni propaganda nyingi za nini acheni simba waongelee mambo yanayoihusu timu yao ninyi kinachowahangaisha nini hamjiamini au
 
Nahisi ndie atakaetambulishwa mda huu..bajaber sjui..usajili mbovu kabisa..Halaf sura za kibishoo bishoo naoanaga tu hakuna mpira...uarabu mwingi ubishoo tu..
 
Makolo mna hasira
 
Siyo kweli
Mkuu Kuna kitu nilikisema wakati flan kua viongoz waache kuleta wachezaj wa 10% ..
Sasa Kuna taarifa zinasema kocha kaja kambini kakuta mchezaji ambaye hamjui na sio anaemtaka..wanapigiwa simu viongozi wanapiga blah blah ..kocha kawaambia labda kama amekuja kua mtazamaji wa mechi ila hatocheza mechi hata Moja sababu hayuko kwenye mipango yake na sio mchezaji aliempendekeza au aliemtaka. Kuna viongozi wa hizi timu wanatakiwa kuacha ubabaishaji.
 
Nahisi ndie atakaetambulishwa mda huu..bajaber sjui..usajili mbovu kabisa..Halaf sura za kibishoo bishoo naoanaga tu hakuna mpira...uarabu mwingi ubishoo tu..
No aliyetambulishwa sasa hivi ni morice abraham, mimi binafsi huwa siangalii sura ila ngoja tuone maana hata hapa africa wanaotugaragaza ni hao hao waarabu, kuna yule beki khadim diaw walisema amesajiliwa kumbe bado na hata sijui wanasubiri nini
 
Back
Top Bottom