Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Haya maneno si mageni jijini hayo mashindano ya kina mama ndio yalifanya ninyi msijiite kina mwakarobo, msimu uliopita pia mlisema mtabeba ubingwa wa cafcl na hakuna timu ya kuwafunga africa mkataka mcheze na malaika, lakini kilichotokea wote tuliona matokeo yake makasiriko yakahamia kwa simba mpaka sasa
Kipigo ulichopewa siulikiona
 
Mzize amejiunga na timu ya Qatar Kwa uhamisho wa dollar 900,000 Kwa pesa za kitanzania ni Billion 2
Huu ndo usajili uliovunja record Kwa mchezaji kutoka ligi ya kuu ya Tanzania

Yanga wasingekataa huu mkwanja
Hongera Yanga Kwa kumuuza mchezaji mliomtengeneza kutoka kwenye academy
Wandakidi miaka 21 😂
 
Hicho kiatu?
Hicho kiatu?
IMG-20250731-WA0008.jpg
 
Wala hatushangai maana kuwafunga simba na kufyeka vichaka vya simba ndio kipimo cha mafanikio yenu
Mafanikio ni makombe
Yanga imebeba Makombe ambayo na nyie makolo mlishiriki, achana na kuwafunga nje ndani
Nina uhakika kama Yanga angecheza hiyo UMISETA huko umamani nako angebeba
 
Mafanikio ni makombe
Yanga imebeba Makombe ambayo na nyie makolo mlishiriki, achana na kuwafunga nje ndani
Nina uhakika kama Yanga angecheza hiyo UMISETA huko umamani nako angebeba
Sasa mmebeba kombe lipi ambalo simba hawajabeba mmebaki kujisifia tu kwamba mmefyeka kichaka cha kubeba ubingwa misimu minne mfululizo yani ninyi mnasubiri simba wafanye ili mje mlipize tu, huko kimataifa msimu ulioisha mlijazana ujinga kwamba mtafyeka kichaka cha simba cha caf ranking matokeo yake siku ya ile mechi fyekeo likageuka butu mkaishia kulamba nyasi, hayo mashindano unayosema mngebeba kombe mlishindwa nini kubeba kipindi kile mbele ya usm alger ambao ndio walilichukulia kombe kwenu kwa mara ya kwanza ndio unataka umfananishe na berkane mzoefu ambaye hili kwake ni kombe la tatu
 
Kila timu ioneshe makombe yake msimu huu
Tuache maneno
 
Mkuu Kuna kitu nilikisema wakati flan kua viongoz waache kuleta wachezaj wa 10% ..
Sasa Kuna taarifa zinasema kocha kaja kambini kakuta mchezaji ambaye hamjui na sio anaemtaka..wanapigiwa simu viongozi wanapiga blah blah ..kocha kawaambia labda kama amekuja kua mtazamaji wa mechi ila hatocheza mechi hata Moja sababu hayuko kwenye mipango yake na sio mchezaji aliempendekeza au aliemtaka. Kuna viongozi wa hizi timu wanatakiwa kuacha ubabaishaji.
Vipi kama kocha hajampendekeza fei toto ila viongozi wa simba wamemsajiri. Naye hatacheza?
 
Back
Top Bottom