Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Kila timu ioneshe makombe yake msimu huu
Tuache maneno
Soon mtarudi huku ni suala la muda

Screenshot_20250701_224517_Photos.jpg
 
Manchester Utd kamaliza wa 15 epl ..na kachukua ubingwa ulaya hapo vipi..nzuri au mbovu!??
Ni ubingwa upi huo wa ulaya aliochukua man u msimu huu au unamaanisha kufika fainali ya europa ama umewachanganya na tottenham ambao ndio waliochukua huo ubingwa, halafu inategemea na timu alizokutana nazo man u huko hadi kufika hiyo fainali simba msimu huu ulioisha hawajakutana na timu mbovu hata moja cafcc kwenye hatua za robo na nusu fainali, wapinzani wote wa simba wamemaliza msimu kwenye top four katika ligi zao siyo kama wengine waliokutana nusu fainali na timu zinazoshuka daraja kwenye ligi zao halafu kutwa kutupigia makelele utadhani walikutana na kina madrid
 
Kibu dee kibu deee .. misimu mitatu ana goli ngapi na huyo ni kiungo mshambuliaji!?? ....
Kibu hajawahi kumaliza msimu bila goli au kutoa assist.

Na ni miongoni mwa top scorer kwenye CAF Confederation cup.

Huyo jamaa yenu ni mechi 55 hana assist hana goli. Ni irrelevant kumfananisha na Kibu mwenye namba zinazokimbiza hadi kimataifa.
 
Ni ubingwa upi huo wa ulaya aliochukua man u msimu huu au unamaanisha kufika fainali ya europa ama umewachanganya na tottenham ambao ndio waliochukua huo ubingwa, halafu inategemea na timu alizokutana nazo man u huko hadi kufika hiyo fainali simba msimu huu ulioisha hawajakutana na timu mbovu hata moja cafcc kwenye hatua za robo na nusu fainali, wapinzani wote wa simba wamemaliza msimu kwenye top four katika ligi zao siyo kama wengine waliokutana nusu fainali na timu zinazoshuka daraja kwenye ligi zao halafu kutwa kutupigia makelele utadhani walikutana na kina madrid
Sajili ya semfuko unaionaje mkuu ..
 
hiyo takataka haiwezi kufikia demands za Young Africans, club ambayo inataraji kuperform better kwenye CAF champions league. inshort anaenda kuwa squad player tu benchi ndio makazi yake
Kuwa na subira. Huu ni usajili wa mwalimu kwa sababu ameshawahi kumfundisha huyu mchezaji huko Bondeni kwa Madiba.
 
Back
Top Bottom