Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Mkuu tangu lini yanga wakawa na malengo yao kivyaovyao wao mafanikio yao makubwa ni kuwafunga simba na kufyeka vichaka vya simba tu wanasubiri simba wafanye ili wao waje walipize, mashabiki wao wanaumia kufungwa na simba kuliko hata kuishia makundi kimataifa yani ili mradi wanawafunga simba basi huko kimataifa wala siyo shida zao washaridhika, na ukitaka kuthibitisha hili ukisema haya watakuambia kwani simba wamefanya nini huko kimataifa yani wao as long as simba hawajafanya kitu fulani basi nao hawaoni haja ya kufanya hicho kitu halafu ndio wanajiona bora
Basi wapo kama vyura.
 
Account ya Simba SC instagram yamfollow FeiView attachment 3428040
Ni wazi wanapita na upepo huo huo ila hakuna jipya. Mara mama kapiga Simu kutoa baraka, mara ku follow account mara furaha ya usajili na furaha ya ufunguzi CHAN. Hizo zote drama kwavile wanajua mashabiki wao walivyo ndio maana waliletewa Manzoki kwenye kampeni
 
Mkuu tangu lini yanga wakawa na malengo yao kivyaovyao wao mafanikio yao makubwa ni kuwafunga simba na kufyeka vichaka vya simba tu wanasubiri simba wafanye ili wao waje walipize, mashabiki wao wanaumia kufungwa na simba kuliko hata kuishia makundi kimataifa yani ili mradi wanawafunga simba basi huko kimataifa wala siyo shida zao washaridhika, na ukitaka kuthibitisha hili ukisema haya watakuambia kwani simba wamefanya nini huko kimataifa yani wao as long as simba hawajafanya kitu fulani basi nao hawaoni haja ya kufanya hicho kitu halafu ndio wanajiona bora
Wewe nini umemzidi yanga...yanga bingwa mara 31, wewe una ngapi??
Nmekufunga mara nyingi zaidi?? Kwann iwe mafanikio wakati ninayo...kimataifa hakuna guarantee na yanga atafika final ya club bingwa kabla Yako km alivofika final shirikisho kabla Yako....
Kwa sasa yanga ni Bora kuliko wewe labda tuone nini kinatokea msimu huu
 
Ni wazi wanapita na upepo huo huo ila hakuna jipya. Mara mama kapiga Simu kutoa baraka, mara ku follow account mara furaha ya usajili na furaha ya ufunguzi CHAN. Hizo zote drama kwavile wanajua mashabiki wao walivyo ndio maana waliletewa Manzoki kwenye kampeni
mbona kama unaweweseka jombaa
 
Sasa mnawasema simba kujisifia nafasi ya tano kwenye caf ranking na kufika robo mara tano mfululizo kimataifa, wakati huo huo nanyi mnajisifia kuwafunga simba mara nyingi zaidi sasa hapo mna tofauti gani na wao, kimataifa hakuna guarantee ila kufika fainali cafcl inategemea na mentality ya timu kwa mentality yenu hii ya kuridhika kisa simba nao hawana, basi subirini tu simba wawe wa kwanza kubeba hilo kombe kisha ninyi mje mfyeke kichaka kama kawaida yenu maana ndicho mnachokiweza, fainali ya cafcc simba walishafika hata kama hamtaki kukubali hilo kwa kifupi hakuna mahali mmefika simba hajafika yani simba atabaki kuwa role model wenu hadi mwisho wa dahari
 
Sijui Simba wanawaza nini, lakini wanahitaji DM mwingine mwenye IQ nzuri ya kuusoma mchezo.
Moja kati ya maeneo ambayo yaliisumbua Simba msimu jana ni eneo la kiungo.
Wameondoka viungo watatu halafu unasajiri kiungo mmoja tu tena sio DM.

Usajiri huu naona wanajaza watu tu kule mbele. Bado wananafasi ya kuongeza mtu katikati kusaidiana na Kagoma, la sivyo bado backline ya Simba itakuwa inafikika kirahisi sana kama msimu jana.
Huyu semfuko kutoka coastal union si DM au UNATAKA awe kacheza Kongo km wachezaji wa vyura?
 
Ni wazi wanapita na upepo huo huo ila hakuna jipya. Mara mama kapiga Simu kutoa baraka, mara ku follow account mara furaha ya usajili na furaha ya ufunguzi CHAN. Hizo zote drama kwavile wanajua mashabiki wao walivyo ndio maana waliletewa Manzoki kwenye kampeni
Mbona mnateseka aisee hizo si drama tu za kutambulisha mchezaji🤣
 
Ooh kama ni hivyo, sawa. Kuna mmoja somebody Rodrigue Kossi walikuwa wanahusishwa nae, imekuwaje?
Inasemekana Fadlu kamkataa na yey kaku aliana na matokeo kaenda timu nyingine

Post yake hii hapa akiwashukuru mashabiki WA Simba kwa kumpambania ili asainiwe ila haikuwezekana
IMG-20250802-WA0001(1).jpg
 
Endapo Simba ikamchukua Fei, so wakawa na Mpanzu na Sowa pia, wanaweza wakatusumbua Yanga kimtindo.

Yanga tunapaswa kuhakikisha kuna namna sehemu moja hapo mzazi usikae sawa hata kwa kumchukua Mpanzu au Feisal asiende Simba.
Kuna chuma kinaitwa Neo Maema ni hatari sana baada ya Chan anatambulishwa
 
Sasa mnawasema simba kujisifia nafasi ya tano kwenye caf ranking na kufika robo mara tano mfululizo kimataifa, wakati huo huo nanyi mnajisifia kuwafunga simba mara nyingi zaidi sasa hapo mna tofauti gani na wao, kimataifa hakuna guarantee ila kufika fainali cafcl inategemea na mentality ya timu kwa mentality yenu hii ya kuridhika kisa simba nao hawana, basi subirini tu simba wawe wa kwanza kubeba hilo kombe kisha ninyi mje mfyeke kichaka kama kawaida yenu maana ndicho mnachokiweza, fainali ya cafcc simba walishafika hata kama hamtaki kukubali hilo kwa kifupi hakuna mahali mmefika simba hajafika yani simba atabaki kuwa role model wenu hadi mwisho wa dahari
Simba hio ndio final ya kwanza kwake na CAF wali post hivyo.
Yanga amefika robo karibu aingie nusu dhidi ya mamelod...yanga watafika nusu au zaidi kabla yenu me naona hivyo.

King of Tanzania football ni Yanga
King of England football alikuwa man u lkn sasa ni Liverpool.
Spain ni Madrid.
France ni PSG

Hapo ndio ujue yanga ni kubwa sema Simba ni rivals lkn king ni yanga
 
Back
Top Bottom