Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Wewe na pyramid nani anafaa kujidai manake km ranking umemzidi na robo final wewe unazo nyingi lkn yeye ana kombe.
Acha kuwa km arsenal bhana
Mbona umejikote mwenyewe au wenge la mwiko nyuma linakutesa?
 
Sasa wewe hayo makombe 31 umewahi kuyafikia!?? au ranking ni kikombe !?? Bado unaona upo sahihi kujidai Kwa ranking??
Sa hii huzitaki mbichi hizi za rank unaona hazina umuhimu kwa Club kama kombe la NBC?

Kombe lako la 31 limeingizia Club kiasi gani na walipofika Simba kimataifa Club imepata kiasi gani?
 
Sa hii huzitaki mbichi hizi za rank unaona hazina umuhimu kwa Club kama kombe la NBC?

Kombe lako la 31 limeingizia Club kiasi gani na walipofika Simba kimataifa Club imepata kiasi gani?
Mwehu huyo anateswa na supu ya ngamia ila kule utopoloni kuna vijana wajinga sana sampuli ya yule alielia kwenye harusi ya ali kamwe 🚮
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Simba hio ndio final ya kwanza kwake na CAF wali post hivyo.
Yanga amefika robo karibu aingie nusu dhidi ya mamelod...yanga watafika nusu au zaidi kabla yenu me naona hivyo.

King of Tanzania football ni Yanga
King of England football alikuwa man u lkn sasa ni Liverpool.
Spain ni Madrid.
France ni PSG

Hapo ndio ujue yanga ni kubwa sema Simba ni rivals lkn king ni yanga
Yani umeulizwa useme kipi ambacho yanga wanacho simba hawana, au wapi yanga wamefika simba hawajafika, we unaishia kuleta ngonjera
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hamna kitu hapo ..penye ukweli tutasema ...itakua wa ten pasenti wamegawana wachezaji na kocha...
Ngoja tumuone uwanjani mkuu maana youtube inatudanganya sana, huenda ikawa mali safi kwahyo usimkatie tamaa mapema
 
Yule jamaa alikuwa analia nini? Wazazi wake watakuwa waliona aibu mno kama walikuwepo au waliona.
Sampuli ya nalia ngwena na na ngara shenzi kabsa vijana wa uto 🚮
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom