Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Hichilema ina maana leo yanga hajafanya usajili huko?
FB_IMG_1754247542594.jpg

Kama nilivyoripoti awali
 
Mkuu Hichilema naona sajili.za Simba zimeisha.
Bado kusajili waganga na marefa...saiv na arajiga here we go.

Lakini huyu kagoma ni mtu nmejua kwann hersi aliumia kumkosa.
Simba Kwa kuongezea wachezaji tayari labda kidogo msajili beki na mbili Kwa kapombe...na LB Kwa shabalala...lkn Kwa kapombe ukifanya rejea pamesababisha goal nyingi upande ule hasa tukicheza na yanga...rejea mechi ya mwisho na yanga goal zote zlitokea kapombe side.
Timu sasa ipo lkn hizo nafasi za RB na LB wazingatie...msimu huu hatutaki excuses
 
Simba itakuwa timu Bora mbele, Nina uhakika Joshua Mutale atakuwa Bora msimu huu na Mukwala, Sowah na Ateba watafunga sana
Tatizo wanafanya masihara kwenye kiungo mkabaji, Kagoma haaminiki ni mchezaji wa kawaida mno
Pia beki Yao Nina mashaka nayo kidogo Hamza Yuko vizuri
Chamoue hana kasi
Kapombe sio mzuri kwenye kujilinda, huko upande wa Kushoto atakuwa mgeni
Huyo Rushaina sio beki mzuri kabisa nimemfatilia
Simba mbele wako good tatizo nyuma
 
Back
Top Bottom