Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Rank za Club bora Africa Simba ni top 5 ya vilabu bora na Yanga haijawahi kuwa.

Sema ni nini umewahi kufanya ambacho Simba haijawahi kukifanya.
Ninechukua kombe la ligi mara 31...wewe una mangapi
 
na wao wenyewe wanaamini kwamba kuna sell-on clause inayotaja kiasi cha pesa badala ya asilimia. Let's say fei kauzwa million 800 hiyo Bil 1 inatokaje?
Wanakwambia hawataki kujua kauzwaje wao wanataka B1 yao akiuzwa.
 
Una taji Gani ambalo Simba Hana?
Kumbe mataji huwa yanatolewa mawili mawili ndani ya msimu mmoja, sikujua hilo. Kwahiyo bingwa wa NBC premier league msimu wa 2024/2025 ni Yanga na Simba
bingwa wa CRDB FA msimu wa 2024/2025 ni Yanga na Simba? Hongereni kwa kupata mataji hayo na nyie.
 
Duuh huyu kocha sajili zake zisipo click msimu huu sijui atawaambia nini watu. Kapewa mamlaka makubwa sana kwenye usajiri.
Ndio inavyotakiwa kama wengine hawawez kazi , wanatuletea sawadogo mara koublan, Valentino mashaka, karabaka, omary omary ..hizo hela zote walizochezea wangekusanya na kuleta chuma Cha hatari kimoja tu Cha asec ..WTF
 
Mkuu Jadda Sajili ya 3 muda huu mbovu ..uzur nakuaga nasema straight. Ya kwanza morice mbovu, ya pil semfuko sjui mbovu, ya tatu hii ya mkenya .
 
IMG-20250802-WA0007.jpg
 
Kombe la ligi wote tumewahi kuchukua. Sema jambo ambalo umewahi kulifanya Simba haijawahi. Mm nimesema rank za club bora Africa Simba imeingia top 5 na Yanga haijawahi......
Sasa wewe hayo makombe 31 umewahi kuyafikia!?? au ranking ni kikombe !?? Bado unaona upo sahihi kujidai Kwa ranking??
 
Back
Top Bottom