vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,128
- 5,862
Naomba nipe sababu za msingi kusema sio sajili ya kiufundiNi wapumbavu tena wapumbavu wakubwa. Unatofautisha professionalism na kukomoa ? Simba inafanya professionalism na ni kweli mchezaji unaeona Inamtaka ni nafasi inayoitajika technically...ila wapumbavu yanga sajili hio ya mpanzu ilikua ni ya kukomoa...kama ambavyo ilitaka kua kwa kibu, chama, mkude , na Sasa tshabalala, zote hizi ni sajili za kukomoa ambazo sio za technical ..mana wachezaji mliochukua kwa mbwembwe wameondoka kimya kimya hamjawaaga mambulula wakubwa, mmewatumia kama toilet paper.