Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Wapoteze mbumbumbu
Kama ulivosema kuwa FEI na Simba kila kitu kimekwisha

Wapoteze mbumbumbu
Kama ulivosema kuwa FEI na Simba kila kitu kimekwisha
Kupitia thread hii ,tumepata tetesi za yanga,azam na simba pia! Kama kuleta tetesi za simba zinaumiza, nadhani busara ilikuwa wewe kuandaa thread ya tetesi za Yanga tu na ku ignore za simba!
 
Kupitia thread hii ,tumepata tetesi za yanga,azam na simba pia! Kama kuleta tetesi za simba zinaumiza, nadhani busara ilikuwa wewe kuandaa thread ya tetesi za Yanga tu na ku ignore za simba!
Simple kabisa...hawa mamavi ya frogs FC wanakera sana ....hata wanampangia mtu aandike habar zao kama walivyomnunua yule punguani Hans...
 
mimi injinia hersi na yanga tunatoa mchango kwa ccm bilioni 1..yanga ni ccm na ccm ni yanga...
 
Camara wa berkane??? kama ni huyo mkuu hapa nakukatalia
Sio yule wa Berkane, uyu ni alianzia CS Sfacxien u21 msimu wa 19/20 na msimu unaofuata wa 20/21 akaingizwa CS Sfaxien senior team.

Msimu wa 23/24 akaenda Qatar ligi daraja la pili timu ya Al-Waab SC

Kwa kifupi Simba wamemtoa huko kwenye ligi daraja la 2.
 
Edmund John amesafiri na timu ya Yanga kuelekea Rwanda Kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa August 15,2025
Kinda Edmund John ametokea Singida Black Star na amejiunga na Yanga Kwa mkataba wa miaka 4
 
Naby Camara ni mnyama
Mkuu Hichelema; kwanza nikiri wazi kuwa huyo jamaa sijawahi kumuona akicheza "live" lakini nimemuangalia "youtube" na wakati mwingine "youtube" zinatudanganya maana zinaonesha mazuri tu. Iwapo ule ndio uchezaji wake halisi basi Simba watakuwa wamepata chuma hasa mtu na nusu. Nguvu, akili, maarifa, jicho la pasi, kasi, n.k. Yaani huyo jamaa ni Miquissone mtupu tofauti yake ni kuwa Miquisone alikuwa kiraka cha juu na huyo jamaa ni kiraka cha chini.
 
Back
Top Bottom