- Thread starter
- #2,401
Muda utaongeaAisee...mambo ni moto...naskia kuna.mwingine tena ukiacha neo ..
Muda utaongeaAisee...mambo ni moto...naskia kuna.mwingine tena ukiacha neo ..
Yah wanaweza kutushangaza ngoja tuwaangalieKweli hawaaminiki ila kama hii project wakimwachia Ibenge bila kumwingilia kwenye usajili, msimu ujao Azam watakuwa wapo vizuri.
Mwambie tajiri alete vyuma kama bado vipo
Wewe ukiambiwa uachane na mitandao utakubali?Mwambie tajiri alete vyuma kama bado vipo
Ila nae aachane na mitandao aisee
Unachagulia watu namna ya kufurahia maisha yao?Mwambie tajiri alete vyuma kama bado vipo
Ila nae aachane na mitandao aisee
Iliwaficha wapi wasijulikane hata kwa tetesi? Au tetesi zao ulishazileta?Simba itatambulisha wachezaji wawili mpaka wa tatu wa kimataifa.
Na atuambie kuna nafasi ngapi zilizobakia za wachezaji wa kimataifa?Iliwaficha wapi wasijulikane hata kwa tetesi? Au tetesi zao ulishazileta?
HichilemaNa atuambie kuna nafasi ngapi zilizobakia za wachezaji wa kimataifa?
Maana hadi sasa list ipo hivi
1) M. Camara
2) N. Camara
3)Mutale
4) Kante
5) Maema
6) De Reuk
7) Mukwala
8) Sowah
9) Ahoua
10) Mpanzu
11) Chamou Karabou
12) Ateba ambaye anasepa
13) Bajaber
Nafasi iliyobakia ni lazima waache wachezaji ndio ipatikane
Okello ashasain Belgium timu ya championshipSimba kama vile hawamuoni Allan Okello🔥
Ateba na Budo they're both outNa atuambie kuna nafasi ngapi zilizobakia za wachezaji wa kimataifa?
Maana hadi sasa list ipo hivi
1) M. Camara
2) N. Camara
3)Mutale
4) Kante
5) Maema
6) De Reuk
7) Mukwala
8) Sowah
9) Ahoua
10) Mpanzu
11) Chamou Karabou
12) Ateba ambaye anaweza kusepa kwa tetesi
13) Bajaber
Nafasi iliyobakia ni lazima waache wachezaji ndio ipatikane
AiseAteba na Budo they're both out
Tetesi zinasema wanawapisha kina nani?Ateba na Budo they're both out
Waliomtaka ni simba acheni kujipa ujiko hapa huo mwezi january hatukusikia tetesi zozote za yanga kumtaka okello bali simba haikuwa tu tetesi, bali waliitafuta kabisa timu yake vipers na kutaka kumsajili ila timu ikagoma kumuachia dirisha dogo ikasema labda wajaribu dirisha kubwa, yanga tangu lini mkawa na scout wa kuspot wachezaji wa maana hao kina pacome wenyewe mmekiri kwamba ilikuwa waende simba ila mkawawahi juu kwa juu, na msimu huu ndio mmetuthibitishia kabisa kuwa huyo injinia wenu huwa anasikilizia tetesi za simba wanataka wachezaji gani, kisha anatake advantage ya delay ya kamati ya usajili ya simba anawawahi ila safari hii tumeona alivyoingizwa chaka kwa conte na kouma maana simba walificha madesaOkello ashasain Belgium timu ya championship
Yanga walimtaka mwezi January dilinlikafa kwakuwa MVP na top scorer wa Uganda amesaini zamani Belgium