Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Na wewe umeingizwa kingi kwa hizi jezi za AI? ,😀😀😀😀 NACHEKA KWA DHARAU....hakuna justification yoyote frogs FC wataleta kuficha uozo wa jezi zao Kama tambara la kudeki choo.
Bora iwe hivo nilikuwa nawaza nitawaambia nini watu😂
 
Bora iwe hivo nilikuwa nawaza nitawaambia nini watu😂
We tulia subiri jumatano uone uzinduzi wa kimataifa wa jezi Kali.
Yani siku ya usaili uvae suti Kali ama nguo nzuri ..halafu siku ya kupewa mkataba wa kuanza kazi uvae mlegezo na nguo zmechanika ..hii akili ama matope ..hata watu watakushangaa
 
atafute beki...

hamza na chamoe hawatotusaidia kimataifa...

yule msouth atafutiwe beki mzuri wa kumsaidia...
Hao mabeki mbona simba walifika nao mbali fainali kimataifa? Yeye kocha ndo mwenye maamuzi ya mwisho Sasa mtu upo nala singida hata haupo na team pre season ila unashauri asajiliwe mtu kisa ulimuona mechi Moja robo FAINALI kombe la FA na singida bs kazingua
 
Mkuu siwadharau Hamza na Chamoe...

Lakini, ukicheza na pyramid au Ahly utawategemea?

Beki zikipewa pressure na team ndogo ndogo kama constantine zinapoteana, unategemea utacheza na pyramid wakuhakikishie ulinzi?
 
Kina Inonga na Malone pia tuliaminishwa ni wabovu lakini wakaenda huko tunakoambiwa Kuna wachezaji wazuri na wakawa regular vikosini
tatizo ni nini sasa...

maana simba ina shida kwenye ulinzi...

timu ikipewa pressure kidogo tu, goli zinaingia...
 
Seleman Mwalimu kutangazwa leo kuwa mchezaji wa Simba kwa mkopo wa mwaka mmoja
FB_IMG_1756379875076.jpg
 
Back
Top Bottom