Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Hivi wewe uko timamu yaani unasema Azizi ki kaanza Wydad mechi 1?
We unadhani Kuna timu itamtoa mchezaji wa first 11 Kwa mkopo
Seleman hakuwa na nafasi wydad
Seleman Mwalimu, Clement Mzize, Aziz Ki wote mapunguani tu, hakuna wachezaji hapo... Wangekua wazuri wangekua wanacheza ulaya... Mchezaji mzuri ahangaike kucheza Tanzania ulaya hajakuona.
 
Hahaha ila Mzize kuna kipindi tetesi zilimuhusisha anahitajika England.
 
Mkuu tusidanganyane angekua ni kama akina Vini Junior au Mbape we unadhani angecheza hapa, Madrid, Bayern, Inter, Man City, Psg hawawez wakamwacha mchezaji mzuri acheze Tanzania..
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mkuu tusidanganyane angekua ni kama akina Vini Junior au Mbape we unadhani angecheza hapa, Madrid, Bayern, Inter, Man City, Psg hawawez wakamwacha mchezaji mzuri acheze Tanzania..
Ni kweli. Huko kwa sasa bado.
 
Simba walivyojua mzinze hauzwi, wakamuomba huyo kwa mkopo
Sasa kwani waliomtaka mzize ni simba, narudia wewe ndio hukuwa na taarifa za selemani mwalimu kuenda simba, yanga walishaweka bei ya mzize mapema na walikuwa tayari kumuuza es tunis ila wameghairi juzi tu
 
Hivi wewe uko timamu yaani unasema Azizi ki kaanza Wydad mechi 1?
We unadhani Kuna timu itamtoa mchezaji wa first 11 Kwa mkopo
Seleman hakuwa na nafasi wydad
Wapi nimesema ameanza mechi moja au ndio umesoma kwa kukurupuka ilimradi tu uwahi kujibu, nimesema huwa haanzi mechi zote anaanza mara moja moja hivi unadhani hizo timu huwa unazifuatilia peke yako, aziz ki kutokutolewa siyo kwa sababu ni mchezaji wa first eleven bali hakuna timu kubwa iliyomtaka labda ninyi yanga ndio mlitaka arudi ila hakutakiwa kokote
 
Sasa kwani waliomtaka mzize ni simba, narudia wewe ndio hukuwa na taarifa za selemani mwalimu kuenda simba, yanga walishaweka bei ya mzize mapema na walikuwa tayari kumuuza es tunis ila wameghairi juzi tu
Seleman mwalimu kaenda Simba, Mzinze kabaki Yanga.

Ukisema Mzinze kabakishwa sababu ya Seleman Mwalimu, basi na mimi nitasema Seleman Mwalimu kaletwa Simba kwa sababu ya Mzinze.

Acha ibaki Seleman yupo Simba na Mzinze yupo Yanga.
 
Hichilema mkuu nani alivujisha jezi za Simba na kwa sababu ipi ama malengo yapi? Huko ndani ya Simba Kuna shida ..Kuna watu wa kupiga risasi pale ndani manyoko....nitatafuta jezi ya pre season hata kwa bunduki, siwez kununua hizo nyingine kabisa ..angalau hata angetoa huo mchoro wa Simba ingekua angalau...sjawah kuona aise duniani , unatoa jezi Kali ya preseason halafu unakuja kuvurunda ya ligi...
 
Wasambazaji
 
z

ile ya pre season iko poa sana, najiuliza zile katengeneza nan? na hizi katengeneza nani?
hizi za sasa tumepigwa, nlipanga ninunue lakini jana nimeshikwa na butwaa,,

kila kitu tunasuasua, usajili tunapigwa na jezi pia ambazo ningejivunia kuivaa lakini kiukweli acha zinipite.

pole sana mwanangu,
 
Acha tu mkuu..siwez tena kununua ..Sijawai kununua jezi ya Simba...kwa sababu hizi hizi...Ile ya preseason niliitafuta kama nilihisi tu kua za ligi zitakua famba...ila nikasema kweli mhaya atoe preason Kali halaf ligi iwe mbovu? Jana nilikua nakunywa bia mahali ikaisha yote kichwani
 
Bora ya Vunja bei alijitahidi, aliyefata SANDA akashusha ubora, huyu Ja Rutty amepelea kabisa, atakaye fata sijui itakuaje ,,
 
Acha tu mkuu..siwez tena kununua ..Sijawai kununua jezi ya Simba...kwa sababu hizi hizi...Ile ya preseason niliitafuta kama nilihisi tu kua za ligi zitakua famba...ila nikasema kweli mhaya atoe preason Kali halaf ligi iwe mbovu? Jana nilikua nakunywa bia mahali ikaisha yote kichwani
Mbona ni nzuri tu, au sababu zilivuja? Leo nimeona mtu kavaa ile nyekundu, alipendeza tu. Ila ya Pre ilikuwa nzuri zaidi. Nadhani isingekuwa nzuri vile hii ingeonekana nzuri mno.
 
Hichilema mkuu nani alivujisha jezi za Simba na kwa sababu ipi ama malengo yapi? Huko ndani ya Simba Kuna shida ..Kuna watu wa kupiga risasi pale ndani manyoko....nitatafuta jezi ya pre season hata kwa bunduki, siwez kununua hizo nyingine kabisa ..angalau hata angetoa huo mchoro wa Simba ingekua angalau...sjawah kuona aise duniani , unatoa jezi Kali ya preseason halafu unakuja kuvurunda ya ligi...
Ile jezi ya pre-season ndio imesababisha hii jezi ya msimu ionekane mbaya

Jamaa alikua na kibarua kigumu kutoa jezi itakayo ifunika ile ya pre-season kwasababu tayar watu waliipenda sana

Lkn pia nahisi alikosa washauri wazuri kibiashara, kiufupi ule uzi wa preseason unatakiwa uingie sokon jamaa apige hela maana hadi utopolo watanunua ule uzi
 
pale inahitaji ushauri? Hapana hawa wawekezaji wetu wanataka faida kubwa,
alafu wanatuletea kitu cha ubora wa chini.
 
Back
Top Bottom