Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Unaelewa nini kuishia makundi?
Imemchukua misimu mingi simba kufika hapo baada ya kufanya mabadiliko makubwa ya mfumo wa uendeshaji wa timu. Lakini Yanga imemchukua misimu mitatu tu. Katika hiyo misimu yote ni msimu gani simba alikuwa mbovu?
 
Acha ujinga, ud songo alikutoa robo final? Jwaneng Galaxy alikutoa nusu fainal? Kawadanganye mbumbumbu wenzio.
Hiyo unaongelea misimu gani, simba imecheza robo fainali za caf zaidi ya mara tano mfululizo na hiyo naongelea misimu ya mwisho ya hivi karibuni, wakati huo yanga walikuwa wapi na walishindwa nini kucheza robo fainali mfululizo wanaishia kuchungulia mara moja moja tu
 
Hilo mbumbumbu kichwani limejaza ubongo wa bata 🦆
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli mnataka tusifie upumbavu yani bingwa wa ligi zaidi ya mara thelathini anaishia makundi kimataifa, wakati huo mpinzani wake ambaye hajafikisha hayo makombe anajitahidi walau anafika hata robo fainali na anaonesha dalili za kufika mbali zaidi, yanga mnachofanya ni kuishusha tu hadhi ligi ya bongo ila walau simba wanajitahidi kuipandisha yani malengo na mafanikio yenu makubwa ni kuwafunga simba na kufyeka vichaka vya simba tu halafu mnataka msifiwe upumbavu
 
Wewe una ubongo wa bata 🦆
 
Imemchukua misimu mingi simba kufika hapo baada ya kufanya mabadiliko makubwa ya mfumo wa uendeshaji wa timu. Lakini Yanga imemchukua misimu mitatu tu. Katika hiyo misimu yote ni msimu gani simba alikuwa mbovu?
Oohh kwahiyo leo hii ndio mnakubali kuwa simba haijawahi kuwa mbovu, kwani waliokuwa wanasema simba mbovu ni wakina nani, halafu yanga imemchukua misimu mitatu kufanya nini
Match ya pili ilikuaje?
Si baada ya ibenge kuanzisha kikosi b kwa sababu tayari alikuwa ameshafuzu robo fainali, halafu ukitaka kujua kuwa lile kundi lenu lilikuwa limejaa vibonde wale wote al hilal na mc alger walienda kuishia robo fainali, sasa kama mlishindwa kuvuka kundi jepesi kama lile mngepangwa kwenye makundi ya kifo na kina pyramids na ahly si ndio mngeburuza mkia, tena hata kwenye lile kundi lenu shukuruni tu mazembe walipigwa rungu na fifa kusajili wachezaji na tayari walikuwa washauza wachezaji wao wazuri karibia wote, vinginevyo ninyi ndio mlikuwa mnaenda kuburuza mkia kwenye lile kundi jepesi kuliko yote maana mazembe siyo timu ya kuishia makundi tena nafasi ya mwisho yani ile nafasi ilikuwa yenu
Allan Okello ni Mnyama
Mmhh
 
Simba wanashindwa nini kumsajili Allan Okello? Tatizo pesa au?
Sijui ni nini ndio Yale Yale ya mligo unakuta Kuna kiongozi anazuia ama analeta siasa ..
Leo wameshapata bilioni karibia 2 za kumuuza Mukwala...wamchukue kijana tufunge transfer kabla ya saa sita usiku leo...
 
Oohh kwahiyo leo hii ndio mnakubali kuwa simba haijawahi kuwa mbovu, kwani waliokuwa wanasema simba mbovu ni wakina nani, halafu yanga imemchukua misimu mitatu kufanya nini

Si baada ya ibenge kuanzisha kikosi b kwa sababu tayari alikuwa ameshafuzu robo fainali, halafu ukitaka kujua kuwa lile kundi lenu lilikuwa limejaa vibonde wale wote al hilal na mc alger walienda kuishia robo fainali, sasa kama mlishindwa kuvuka kundi jepesi kama lile mngepangwa kwenye makundi ya kifo na kina pyramids na ahly si ndio mngeburuza mkia, tena hata kwenye lile kundi lenu shukuruni tu mazembe walipigwa rungu na fifa kusajili wachezaji na tayari walikuwa washauza wachezaji wao wazuri karibia wote, vinginevyo ninyi ndio mlikuwa mnaenda kuburuza mkia kwenye lile kundi jepesi kuliko yote maana mazembe siyo timu ya kuishia makundi tena nafasi ya mwisho yani ile nafasi ilikuwa yenu

Mmhh
Kundi la mabingwa unaliita bovu? Hujui mpira. Kundi lako nani alikua bingwa?
 
Walikuwa mabingwa wa ligi gani sasa utafananisha na yale makundi mengine, kwenye kundi la simba hakukuwa na bingwa ndio maana wakavuka wakafika fainali wakafungwa na berkane ambaye ni bingwa wa ligi ya morocco, by the way huko klabu bingwa simba walisha ongoza kundi gumu ambalo walikuwepo al ahly
 
X factor ni Feisal Salum (Fei toto). Nilipost hapa wenye akili nyingi wakanitukana. Siku niliposema Fei kasaini Simba ndo kweli alikuwa amesaini. Atakuja msimu ujao kama mchezaji huru
Mkuu mbona unatuchanganya tena? Mchezaji kusaini Simba huku akiwa bado ana mkataba na timu nyingine sio kosa kisheria?. Sasa inawezekana vipi Feisali asaini mkataba kwasasa na Simba kisha asubirie hadi msimu ujao ndio acheze, huo mkataba kusaini kwasasa kuna faida gani?
 
Back
Top Bottom