Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Ukweli wa yanayoendelea chumbani kwa Baba na Mama wanaujua wenyewe tu, wengine huwa wanaishia kuhisi hisi tuHuko twitani kelele ni nyingi, wanasema namba 1 na 2 picha haziendi.
ukweli upoje, maana wahenga walisema lisemwalo laweza kuwepo
Awamu ile walihisi na mwisho ikawa kama vile walivyokuwa wanahisi, mashushushu wasidharauliwe.Ukweli wa yanayoendelea chumbani kwa Baba na Mama wanaujua wenyewe tu, wengine huwa wanaishia kuhisi hisi tu
Hivi huu uvumi una ukweli wowote au ni njia tu raia wameona inafaa kujipa matumaini.?Nimeshaanza kununua chakula na vinywaji ili tangazo likitoka tu niwe mtu wa kula na kunywa kwa raha zangu.
Namaliza kazi kwa kumla chawa wa Sirikali π.
Vincenzo Jr Dr am 4 real PhD what's up!
Wayamalize au wamalizaneWayamalize uzuri wote wahuni na Ni wanamtandao so hata wakifa wote fresh tu
Tuliwaambia shetani Hana rafiki na reform zifanyike kwanza kabla ya yote wakabisha wacha wavune walichopanda
Wanafikiri nchi itatawalika Tena chini ya Samuya?
Inaweza kuwa kweliHivi huu uvumi una ukweli wowote au ni njia tu raia wameona inafaa kujipa matumaini.?
Hilo swala japo ni la kila mwanadu chini ya jua ila likinikuta hai nitatapanya sana hela hiyo siku.
Sidhani kama Kuna ukweli wowote, ila kama ni kweli nami nitatapanya pesa ilimradi nibanjuke tu π.Hivi huu uvumi una ukweli wowote au ni njia tu raia wameona inafaa kujipa matumaini.?
Hilo swala japo ni la kila mwanadu chini ya jua ila likinikuta hai nitatapanya sana hela hiyo siku.
Kinachonishangaza kingine ni moderators kuacha huu uvumi uendelee humu wakati sio utamaduni waoHivi huu uvumi una ukweli wowote au ni njia tu raia wameona inafaa kujipa matumaini.?
Hilo swala japo ni la kila mwanadu chini ya jua ila likinikuta hai nitatapanya sana hela hiyo siku.
Wanatengeneza bifu kama mondi na Ali kiba watupumbazeHuko twitani kelele ni nyingi, wanasema namba 1 na 2 picha haziendi.
ukweli upoje, maana wahenga walisema lisemwalo laweza kuwepo
NakaziaNamuomba Mungu isije ikawa uongo
Chawa wa Serikali ni ngumu sana kumpatq, sababu wanatumia Id fake.Nimeshaanza kununua chakula na vinywaji ili tangazo likitoka tu niwe mtu wa kula na kunywa kwa raha zangu.
Namaliza kazi kwa kumla chawa wa Sirikali π.
Vincenzo Jr Dr am 4 real PhD what's up!
Hakika mkuu, ngoja nione namna ya kufanya.Chawa wa Serikali ni ngumu sana kumpatq, sababu wanatumia Id fake.
Ukitaka kufullfil kiu yako, tafuta Waziri ama Mbunge mwenye jina, mshawishi kisha umlale.
Hawa machawa kuwapata itakupa shida au kukupotezea muda.

πππNamuomba Mungu isije ikawa uongo