Tuliwaasa kuhusu dhambi ya ubaguzi... Ukimaliza paka wote! Panya watakurudiHuko twitani kelele ni nyingi, wanasema namba 1 na 2 picha haziendi.
ukweli upoje, maana wahenga walisema lisemwalo laweza kuwepo
Kwema brother Mimi nimenunua soseji za kutosha nazijaza tu kwenye friza Fake P njoo tule sosejiNimeshaanza kununua chakula na vinywaji ili tangazo likitoka tu niwe mtu wa kula na kunywa kwa raha zangu.
Namaliza kazi kwa kumla chawa wa Sirikali 😎.
Vincenzo Jr Dr am 4 real PhD what's up!
Pa kuanzia nenda ka review video mjongeo yote ya wakati wanapewa formd za ushindi na tume ya uchaguzi...ile body language huhitaji uwe umeenda cuba kuielewaHuko twitani kelele ni nyingi, wanasema namba 1 na 2 picha haziendi.
ukweli upoje, maana wahenga walisema lisemwalo laweza kuwepo
Kwa nini hukunishtua mapema mkuu? Kumbe ulishapata za ndaaani!Kwema brother Mimi nimenunua soseji za kutosha nazijaza tu kwenye friza Fake P njoo tule sosejiView attachment 3514018
Mda wowote kinawaka brotherKwa nini hukunishtua mapema mkuu? Kumbe ulishapata za ndaaani!
Mwona mbali Kp aliwahi onyesha kaburi walilolichimba wanachukua chako mapema na wakifanya harakati ya mazishi yao wenyewe! Sasa mimi sitaona na sioni mshangao wowote katika yote haya.Huko twitani kelele ni nyingi, wanasema namba 1 na 2 picha haziendi.
ukweli upoje, maana wahenga walisema lisemwalo laweza kuwepo
Ee mungu nijalie nione hili likitokea.Mda wowote kinawaka brother
Binadamu ako na lita 5 za damu
Chukua watu zaidi ya elfu 10 × 5lt= 50,000 lt. Ndicho kiwango aridhi ya Malawi imekunywa
Hujawa kichaa tuu?
Mimi hata hainishangazi kusikia chochote kutoka kwa hao
Sio kwamna kaamua tu kutulia amuachie lopolopo wake azungumze?Inaweza kuwa kweli
Juzi ujumbe wa Samuya kasoma MADILU
🤣🤣🤣🤣 Tajeeer nipo na wewe mpaka ufeeeKwema brother Mimi nimenunua soseji za kutosha nazijaza tu kwenye friza Fake P njoo tule sosejiView attachment 3514018
Nachoka Mimi by clement mwandambo voice Cc ephen_🤣🤣🤣🤣 Tajeeer nipo na wewe mpaka ufeee
Bwana lameki hawezi kukuoa jibu la sawa juu ya hiliMuulizeni madelu
Imechanganya mambo mkuu na umechanya majina pia.Kama ni kutokuelewana kwa 1 na 2 anayepoteza hapo ni 2.
Kawaida tu. Unakumbuka bifu la uhuru na Kashagwa?. Walikuwa hata hawasalimiani. Kashagwa akaamua kupumzika kupisha kelele.
KWa kuwa sisi hatuna utamaduni wa kujiuzulu, ngoma itaenda hivyo hivyo ki.ya kimya.
Kuhusu bendera jupepea nusu mlingoti, hilo sidhani.
Bora waende hivyohivyo kibabe ili mambo yao yawe yanatufikia hapa mezani JFKama ni kutokuelewana kwa 1 na 2 anayepoteza hapo ni 2.
Kawaida tu. Unakumbuka bifu la uhuru na Kashagwa?. Walikuwa hata hawasalimiani. Kashagwa akaamua kupumzika kupisha kelele.
KWa kuwa sisi hatuna utamaduni wa kujiuzulu, ngoma itaenda hivyo hivyo ki.ya kimya.
Kuhusu bendera jupepea nusu mlingoti, hilo sidhani.