TETETSI: Ndani ya masaa 48 kuna kifaa kinatua MAN UTD

huyo ndo anafaa kwenye basi,
1. ni fighter timu ikishambuliwa sio mzigo, atasaidia tukipaki basi
2. ana speed ya kuanzisha counter attack
3. anajua kufunga.
Ila akiamia City hizo sifa zote zitakuwa zimekufa sio?
 
Twajua kuwa zpo ila Alex sio wa kupak bac.....sajilin wachezaj kutokana na mfumo wenu
Hahahha hakunaga mfumo wa kupaki basi sijawah kuuona ....Tegeshea masikio na macho kuona Alexis drives to Manchester United area
 
He made wrong choice. Angeenda City ndio angalau angenyanyua kwapa. Labda kama kafwata mshahara mkubwa na si mafanikio kama kubeba makombe.

Hawezi kupata EPL akiwa na United, sababu ni kwamba City wataendelea kuitawala priemier league kwa muda. Ameshindwa kusoma nyakati.

Hawa ni baadhi ya wchezaji walioondoka Aseno na kwenda kunyanyua kwapa vilabu walivyokwenda.

Van presie
Clich
Sagna
Viera
Hendry
Leb
Song
Nasri

Sanchez namsikitikia kwa jasho analovuja anaishia kinyanyua kwapa kwa mick mouse cup kama anavyosema rafiki'ngu King Ngwaba.
 
Reactions: PNC
Twajua kuwa zpo ila Alex sio wa kupak bac.....sajilin wachezaj kutokana na mfumo wenu
Man u ni timu ya tatu inayoongoza kwa kufunga magoli nyie msiopaki MNA magoli mangap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…