BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what?? Pogba mlitamba kama Asley ila naona mwendo wa kubuma tuuh..!
[emoji23][emoji23][emoji23] punguza jazba we man city au arsenalSo what?? Pogba mlitamba kama Asley ila naona mwendo wa kubuma tuuh..!
Unamuongelea pobga yupi mkuu? Wa tanzania au man u?So what?? Pogba mlitamba kama Asley ila naona mwendo wa kubuma tuuh..!
huyo ndo anafaa kwenye basi,Kwa mfumo wa Morinho wa kupaki basi hakuna atakalofanya
Ila akiamia City hizo sifa zote zitakuwa zimekufa sio?huyo ndo anafaa kwenye basi,
1. ni fighter timu ikishambuliwa sio mzigo, atasaidia tukipaki basi
2. ana speed ya kuanzisha counter attack
3. anajua kufunga.
Wazee wa kumwaga pesa tumewazoea
HahahaKwa mfumo wa Morinho wa kupaki basi hakuna atakalofanya
Pesa zipo zinahema benkiWazee wa kumwaga pesa tumewazoea
Twajua kuwa zpo ila Alex sio wa kupak bac.....sajilin wachezaj kutokana na mfumo wenuPesa zipo zinahema benki
Hahahha hakunaga mfumo wa kupaki basi sijawah kuuona ....Tegeshea masikio na macho kuona Alexis drives to Manchester United areaTwajua kuwa zpo ila Alex sio wa kupak bac.....sajilin wachezaj kutokana na mfumo wenu
Kwa hiyo ina maana wewe unawajua wachezaji wanaofaa kwenye mfumo wetu kuliko mourinho?Twajua kuwa zpo ila Alex sio wa kupak bac.....sajilin wachezaj kutokana na mfumo wenu
kwani Man city hawana ma fighter? mbona fernandinho watu wanamkubali anapiga kazi?Ila akiamia City hizo sifa zote zitakuwa zimekufa sio?
Mara yako ya mwisho kufuatilia mpira ni lini?So what?? Pogba mlitamba kama Asley ila naona mwendo wa kubuma tuuh..!
Man u ni timu ya tatu inayoongoza kwa kufunga magoli nyie msiopaki MNA magoli mangap?Twajua kuwa zpo ila Alex sio wa kupak bac.....sajilin wachezaj kutokana na mfumo wenu
Man u ni timu ya tatu inayoongoza kwa kufunga magoli nyie msiopaki MNA magoli mangap?