TETETSI: Ndani ya masaa 48 kuna kifaa kinatua MAN UTD

TETETSI: Ndani ya masaa 48 kuna kifaa kinatua MAN UTD

Mkuu Viera na Henry waliwahi nyakua vikombe wakiwa Arsenal kabla hawajaamua kuhamia timu zingine. Angalia kumbukumbu zako vizuri.
Uko right. Hilo nalijua. Walisoma nyakati wakaamua kuondoka. Kumbuka wakati ule Arsenal walikuwa kwenye project ya ujenzi wa uwanja mpya huu wa sasa Emirate. Hivyo badget ya usajili ilikuwa finyu kiasi cha kushindwa kusign world class player.
 
Sanchez amegoma kujiunga team yenye mkufunzi mwehu ya united

Mkuu Alonso14 umenena vema kabisa Mourinho ni mwehu na hajui anachofanya. Ananinyima raha sana jinsi Man Utd inavyoboronga. Wanacheza hovyo sana.
Mimi mpenzi wa football nawajibu.nyinyi.mashabiki wa mpira

Screenshot_2018-01-17-16-30-08-1-1.png
 
Hii taarifa c ya kweli. Nemetembelea site mbali mbali sijaona hii kitu.
Achana na hao SCAMS ...wanafikiri watanzania wote wajinga hatuna elimu ya kufuatilia kwemye mitandao inayotoa habari za usajili kila dakika..
 
Uko right. Hilo nalijua. Walisoma nyakati wakaamua kuondoka. Kumbuka wakati ule Arsenal walikuwa kwenye project ya ujenzi wa uwanja mpya huu wa sasa Emirate. Hivyo badget ya usajili ilikuwa finyu kiasi cha kushindwa kusign world class player.

Pamoja sana mkuu
 
Back
Top Bottom