Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Uko right. Hilo nalijua. Walisoma nyakati wakaamua kuondoka. Kumbuka wakati ule Arsenal walikuwa kwenye project ya ujenzi wa uwanja mpya huu wa sasa Emirate. Hivyo badget ya usajili ilikuwa finyu kiasi cha kushindwa kusign world class player.Mkuu Viera na Henry waliwahi nyakua vikombe wakiwa Arsenal kabla hawajaamua kuhamia timu zingine. Angalia kumbukumbu zako vizuri.