barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mykhitarian ni mfano wa mfumo mbovu wa Mourinho kushindwana na huyu fundi.Kwa hiyo ina maana wewe unawajua wachezaji wanaofaa kwenye mfumo wetu kuliko mourinho?
Sikupingi ulichoongea lakini naomba Stats kwa hili ulilolisema please!
Tumekataa kutoa pesa, kama wanamtaka miki tubadilishane wachezaji, tuwape miki na wao watupe sanchesBado tu?
[emoji23][emoji23]
Unaharibu majina ya watu,Hendry ndoo Nani ii? Sema Henry,Leb sema HlebHe made wrong choice. Angeenda City ndio angalau angenyanyua kwapa. Labda kama kafwata mshahara mkubwa na si mafanikio kama kubeba makombe.
Hawezi kupata EPL akiwa na United, sababu ni kwamba City wataendelea kuitawala priemier league kwa muda. Ameshindwa kusoma nyakati.
Hawa ni baadhi ya wchezaji walioondoka Aseno na kwenda kunyanyua kwapa vilabu walivyokwenda.
Van presie
Clich
Sagna
Viera
Hendry
Leb
Song
Nasri
Sanchez namsikitikia kwa jasho analovuja anaishia kinyanyua kwapa kwa mick mouse cup kama anavyosema rafiki'ngu King Ngwaba.
NoteUnaharibu majina ya watu,Hendry ndoo Nani ii? Sema Henry,Leb sema Hleb
Miki akitua arsenal anaenda kung'aa kule,sema ndo hakulijua hilo b4Tumekataa kutoa pesa, kama wanamtaka miki tubadilishane wachezaji, tuwape miki na wao watupe sanches
Shida ni kwamba haitaki arsenal anaitaka borussia dortmund na ndio linalochelewesha hilo dili lisikamilike hadi sasaMiki akitua arsenal anaenda kung'aa kule,sema ndo hakulijua hilo b4
Hata huyu atafaa piaTwajua kuwa zpo ila Alex sio wa kupak bac.....sajilin wachezaj kutokana na mfumo wenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa Pogba je? Wakati anasajiliwa mlishajipaga ubingwa tayari Ila saizi mnapumulia mipirahuyo ndo anafaa kwenye basi,
1. ni fighter timu ikishambuliwa sio mzigo, atasaidia tukipaki basi
2. ana speed ya kuanzisha counter attack
3. anajua kufunga.
So what?? Pogba mlitamba kama Asley ila naona mwendo wa kubuma tuuh..!
kwani pogba ana nini? majeruhi yake na ile red card vimechangia tuwe nyuma ila akiwemo uwanjani mziki wake kila mtu anaujua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa Pogba je? Wakati anasajiliwa mlishajipaga ubingwa tayari Ila saizi mnapumulia mipira